FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Basi anatufaa sana huyu dogo...Anacheza winga yakulia ingawa anatumia mguu wakushoto,pia anafunga magoli mengi akiwa nje ya box,mashuti yake dizaini ya coutinho pia nifundi sana wakuchezea Mpira,pia anaweza kucheza kama kiungo mshambuliaji kwa ufanisi wa hali ya juu.Pia umri wake nimdogo ana miaka 21 tu.
Done Deal Mkuu, tumefanikiwa kuwapokonya Roma huyu dogo Malcom.Ok, namuombea awe na partnership nzuri na Coutinho upande wao wa kulia, huku nikimiombea dembele awashe moto na Messi upande wa kushoto.
Msimu huu tutawanyanyasa sana!
Deal Done, Eric Abidal hana rongo rongo. Yeye ni mwendo wa action tu.Anacheza winga yakulia ingawa anatumia mguu wakushoto,pia anafunga magoli mengi akiwa nje ya box,mashuti yake dizaini ya coutinho pia nifundi sana wakuchezea Mpira,pia anaweza kucheza kama kiungo mshambuliaji kwa ufanisi wa hali ya juu.Pia umri wake nimdogo ana miaka 21 tu.
RM, RW, LW, CAM zote dogo anapigaOk, namuombea awe na partnership nzuri na Coutinho upande wao wa kulia, huku nikimiombea dembele awashe moto na Messi upande wa kushoto.
Msimu huu tutawanyanyasa sana!
Hapa itabidi akomae LW au CAM maana RW kuna messi na dembeleRM, RW, LW, CAM zote dogo anapiga
Naona wanamtumia sana upande wa kulia, akija kweli apambane kushoto na CAMHapa itabidi akomae LW au CAM maana RW kuna messi na dembele
Tayari ameshafika mkuu, barca naona wameshidwa kupata wa upande wa kushotoNaona wanamtumia sana upande wa kulia, akija kweli apambane kushoto na CAM View attachment 817741
Sure, nimechanganya.Mkuu Messi anacheza kulia na dembele, Cotinho anacheza kushoto
Hata mm kuna mda nawaza kama ww, kuwa kwann dembele asijaribu kucheza upande wa kulia maana kule ndio hakuna mtuSure, nimechanganya.
Probably inawezekana dembele akapelekwa left wing
Another blunder from BatromeuSure, nimechanganya.
Probably inawezekana dembele akapelekwa left wing
Malcom kafika leo tu, tayari romours za Dembele kuondoka zimeanza?Another blunder from Batromeu
Kuna rumours kuwa Dembele anataka kuondoka baada ya kusajiliwa kwa Malcom na pia haelewani na Velvede.Kama itatokea timu kumshawishi Dembele ataondoka msimu huu
Chamsingi wote wapewe muda wa kucheza wa kutosha, na kila 1 apambane kuhakikisha kwamba anazoea mfumo wa Barca haraka iwezekanavyo na kucheza vizuri. Vingenevyo "survival of the fittest" itahusika hapa...Malcom kafika leo tu, tayari romours za Dembele kuondoka zimeanza?
Calm down mkuu, ni mpuuzi peke yake ndie anaeweza kumuachia dembele!
Hao wapuuzi ndio walimnunua Paulinho tukasema hafai kuchezea Barca now wamekubali walikosea wamemrudisha ChinaMalcom kafika leo tu, tayari romours za Dembele kuondoka zimeanza?
Calm down mkuu, ni mpuuzi peke yake ndie anaeweza kumuachia dembele!
Kwa bahati mbaya sio Dembele anaeamua kucheza upande wa kulia, ni maamuzi ya kocha!Kwa ninavoona ili dembele awe mzuri zaidi ni vizuri ajitahidi kucheza upande mwingine maana mashabiki wa barca lazma tukabali kuwa messi ni mchezaji ambayehachezi kinamba sikuizi na hii ndo inamfanya kwamba kule upande wake ashtaj mtu kabsa bali beki ya upande wake yenye kasi kama alivowezana na dani alves ninaona semedo akipewa nafasi ataweza...uyu malcom sioni akiwezakuimarika akipangwa upande huu labda acheze middle maana kama kashndwa mchezaji kama dybala kucheza na messi upande mmoja sioni hilli kwa malcom...labda kama kocha ana malengo ya kumweka messi false nine tena