FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Kwanini usingeanza kujitaja wewe kwanza kwenye list hiyo? Acha uongo wako, game zote 2 uefa mmebebwa dhidi ya Bayern. Mbereko ndiyo imewafikisha hapo mlipo.Wivu ni Kitu kibaya masikini hawezi kuwa tajiri kwa kuchukia matajiri." Ati mna rob" hata aibu hauoni wewe Roma kakutoa,juve alikunyoa season iliyopita uwezo wa team yako unaishia laliga kiufupi wewe ni village champions ,team inatoa bingwa wa ufaransa, bingwa wa italy ,bingwa wa German ati mna rob, wewe ulimtoa bingwa wa england mchovu ambae season hii hata Top four hayupo .Barça ni village champions
He is 33 mnadhani anaweza cheza kama ana miaka 26 tena.Sio hatumuheshimu, Lakini hawezi kupewa heshima ka aliyopewa Iniesta na wana Madrid, kwa sababu hana mpira wa ladha ni sawa na Suarez.
Angalia mechi dhidi ya Bayern alivyocheza pembeni alikua anadhurula tu. Ukishindwa kufunga Fanya basi hata assist.
Za kufizia fizia na kubahatisha, ukiona hivo kiwango cha kuvizia goli huwaga kiko juu kanapocheza uefa. Ndo maana.He is 33 mnadhani anaweza cheza kama ana miaka 26 tena.
Unamsema kwenye mechi ya Bayern wakati mechi ya juventus walimpa hehsima kama hiyo[emoji23] [emoji23]
Na kwenye UCL ana Assitis nyingi kuliko Messi
Sio kigezo mbona Iniesta ana miaka 24He is 33 mnadhani anaweza cheza kama ana miaka 26 tena.
Unamsema kwenye mechi ya Bayern wakati mechi ya juventus walimpa hehsima kama hiyo[emoji23] [emoji23]
Na kwenye UCL ana Assitis nyingi kuliko Messi
Iniesta na Ronaldo wap na wap jaman?Sio kigezo mbona Iniesta ana miaka 24
Lengo nilitaka nikuoneshe kua Ronaldo ubora wake upo kwenye kufunga, Lakini hana kingine cha ziada. Angekua na kingine cha ziada umri sio kigezo sana mbona magoli anafunga kama umri ndo kigezo. Japo umri unaweza unaweza kwa sehemu lakini ukweli ni kwamba Ronaldo timu ikipoteneana anakua hana msaada nae anadhurula tu tofauti na Messi ana offer vitu vingi.Iniesta na Ronaldo wap na wap jaman?
Zaid ya magoli na Assist Messi ana offer nn?Lengo nilitaka nikuoneshe kua Ronaldo ubora wake upo kwenye kufunga, Lakini hana kingine cha ziada. Angekua na kingine cha ziada umri sio kigezo sana mbona magoli anafunga kama umri ndo kigezo. Japo umri unaweza unaweza kwa sehemu lakini ukweli ni kwamba Ronaldo timu ikipoteneana anakua hana msaada nae anadhurula tu tofauti na Messi ana offer vitu vingi.
Ronaldo ana ubora wake lakini Messi ana offer vitu vingi bora.
Najua wewe hapo umeshamaliza mifano kwa messi.Zaid ya magoli na Assist Messi ana offer nn?
Maana ndio Ronaldo anavyo offer. Kwani kwenye game ya Roma Messi ali offer nn
Mwaka jana game za juventus zote mbili Messi ali offer nn?
Huwez tumia mechi moja ya Bayern kumhukumu Ronaldo kaka
Sema Ronaldo alikuwa hafanyi vzuriNajua wewe hapo umeshamaliza mifano kwa messi.
Angalia msimu ulivyokua unaanza Madrid walivyokua hawafanyi vizri, Ronaldo hakufunga hata goli kwenye mechi tano
We unamfuatilia Ronaldo anapofunga. Lakini ukweli ni kwamba,Ronaldo hawi bora timu inapokua haifanyi vizr. Messi ni Mara nyingi timu isipofanya vizri yeye anaibuka. Messi ana assist, anachezesha timu, anafunga, anadrible nk. Kati ya hivyo Ronaldo anafanya kimoja tu kufungaSema Ronaldo alikuwa hafanyi vzuri
Yaan asipo fanya vzuri yeye tim inashuka. Pia alikuwa na fatique mwaka hana kacheza mechi nyingii sana.
Sisemi Ronaldo sio mzri, ila messi ni mzuri zaidi.Sema Ronaldo alikuwa hafanyi vzuri
Yaan asipo fanya vzuri yeye tim inashuka. Pia alikuwa na fatique mwaka hana kacheza mechi nyingii sana.
UmegeuzaWe unamfuatilia Ronaldo anapofunga. Lakini ukweli ni kwamba,Ronaldo hawi bora timu inapokua haifanyi vizr. Messi ni Mara nyingi timu isipofanya vizri yeye anaibuka. Messi ana assist, anachezesha timu, anafunga, anadrible nk. Kati ya hivyo Ronaldo anafanya kimoja tu kufunga
Umesema Ronaldo hana cha ku offer zaid ya Messi ila hujataja kipi hiko Messi ana offer ambacho cr 7 hatoiSisemi Ronaldo sio mzri, ila messi ni mzuri zaidi.
Usjali na mechi ya leo itakuwa ngumu kumeza vile vileDuuh,,ile match na Roma ilikuwa ngumu kumeza aisee,shockwave niliyopata mpaka leo sija recover-lets hope team itafanya amends leo na kumuweka RM katika nafasi yake
2011 prince married and liverpool didnt take a shit.I wish history rewrite itself once more.View attachment 768413
El Classico can’t come sooner