FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hebu nipe sababu za msingi za kutokumheshimu Messi ndugu mtani.
Mniambie mashabiki wa Messi kwa nini hamumuheshim Ronaldo?

Anyway this is about Iniesta namuheshim sanaa. Hata Bernabeu tuliwahi mpa standing ovation
 
Mniambie mashabiki wa Messi kwa nini hamumuheshim Ronaldo?

Anyway this is about Iniesta namuheshim sanaa. Hata Bernabeu tuliwahi mpa standing ovation
Na safari hii ntawajua wacheza mpira wote na timu zao na vimbwanga vyao
 
Ili uwe unamdanganya leo barca wanacheza kumbe unaingia kwa jirani.looooh hazard usiponfundisha haya maswala ntayafata gugo
Hahaha
Namwambia kuna mechi za brazili za usiku hana shda

Ila tukiwa tuna angalizia hom ana maswali kweli hadi nashindwa kuangalia mpira vzuri
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…