Mpira wetu barca una focus kwa Messi zaidi. Everything goes through him. Kiasi wachezaji wengine lazima wautumikie mfumo huo. Namuona dembele kama hana uhuru fulani hivi akiwepo na Messi. Na jinsi Messi alivyo free ku rotate, kuna nyakati anakuja right flank na Dembele unamuona kama anakuwa out of position au anashindwa kuendana na Namna Messi anavyoenda. Naamini muda zaidi akipewa ata improve na kufanya vyema zaidi. Tusisahau katika mechi ya juzi, goli la kwanza assist ni ya Dembele na goli la pili ni Dembele ndie alie break down akiwa faced with three defenders, akapick a right pass right to Suarez, who also made a great pass to the King to strike home. Nimesahau statistics za Neymar msimu wake wa kwanza, lakini I believe si tofauti kubwa sana na Dembouz the Mosquito.Dembele hatakiwi juenda mahali zaidi kocha anatakiwa kumpa muda mwingi wa kucheza na pia mwalimu atumie mfumu wa 433
Hadi leo hatuna mbadala wa BusquetsHasa kule nyuma hamko vizuri
Akina Pique ni mizigo
Neymar hakuwa na msimu mzuri Barca kwa mara ya kwanza hivyo Dembele anaitaji muda zaidi yeye na DenisMpira wetu barca una focus kwa Messi zaidi. Everything goes through him. Kiasi wachezaji wengine lazima wautumikie mfumo huo. Namuona dembele kama hana uhuru fulani hivi akiwepo na Messi. Na jinsi Messi alivyo free ku rotate, kuna nyakati anakuja right flank na Dembele unamuona kama anakuwa out of position au anashindwa kuendana na Namna Messi anavyoenda. Naamini muda zaidi akipewa ata improve na kufanya vyema zaidi. Tusisahau katika mechi ya juzi, goli la kwanza assist ni ya Dembele na goli la pili ni Dembele ndie alie break down akiwa faced with three defenders, akapick a right pass right to Suarez, who also made a great pass to the King to strike home. Nimesahau statistics za Neymar msimu wake wa kwanza, lakini I believe si tofauti kubwa sana na Dembouz the Mosquito.
Umenena vzr, hata huyu Grezman hawezi chochote kwasababu anacheza upande wa MessiMpira wetu barca una focus kwa Messi zaidi. Everything goes through him. Kiasi wachezaji wengine lazima wautumikie mfumo huo. Namuona dembele kama hana uhuru fulani hivi akiwepo na Messi. Na jinsi Messi alivyo free ku rotate, kuna nyakati anakuja right flank na Dembele unamuona kama anakuwa out of position au anashindwa kuendana na Namna Messi anavyoenda. Naamini muda zaidi akipewa ata improve na kufanya vyema zaidi. Tusisahau katika mechi ya juzi, goli la kwanza assist ni ya Dembele na goli la pili ni Dembele ndie alie break down akiwa faced with three defenders, akapick a right pass right to Suarez, who also made a great pass to the King to strike home. Nimesahau statistics za Neymar msimu wake wa kwanza, lakini I believe si tofauti kubwa sana na Dembouz the Mosquito.
Dembele yuko vizuri sema kocha hampi nafasi na pia yale majeruhi ya kukaa miezi minne yalimrudisha nyuma na hata alivyorudi kajitahidi sana kwa chance alizopewaMpira wetu barca una focus kwa Messi zaidi. Everything goes through him. Kiasi wachezaji wengine lazima wautumikie mfumo huo. Namuona dembele kama hana uhuru fulani hivi akiwepo na Messi. Na jinsi Messi alivyo free ku rotate, kuna nyakati anakuja right flank na Dembele unamuona kama anakuwa out of position au anashindwa kuendana na Namna Messi anavyoenda. Naamini muda zaidi akipewa ata improve na kufanya vyema zaidi. Tusisahau katika mechi ya juzi, goli la kwanza assist ni ya Dembele na goli la pili ni Dembele ndie alie break down akiwa faced with three defenders, akapick a right pass right to Suarez, who also made a great pass to the King to strike home. Nimesahau statistics za Neymar msimu wake wa kwanza, lakini I believe si tofauti kubwa sana na Dembouz the Mosquito.
Barca at the back kwa msimu huu wame improve sana tofauti na misimu mingine. Tupo on the lait tirak aa long as few changes are made. Kutopoteza mechi at La Liga na vile tume concede less goals kama Diego Simione na ATM yakeHasa kule nyuma hamko vizuri
Akina Pique ni mizigo
Kwa kifupi mpaka leo hajapatoka mrithi wa xavHadi leo hatuna mbadala wa Busquets
Mkuu umenifanya nicheke ila natamani iwe hivyooKwa pamoja tuombe ili madrid atolewe uefa wakuu.
Ameeen, imeshakuwa Mkuu.Mkuu umenifanya nicheke ila natamani iwe hivyoo
Wanakera sana, siku Messi akiondoka kama hakuna mipango tofauti na ya sasa,twaweza shuka darajaSijui kwanini wanashindwa kuwaamini watoto wao wa lamasia
Madogo wengi wanaondoka maana hawana uhakika wa kucheza first teamWanakera sana, siku Messi akiondoka kama hakuna mipango tofauti na ya sasa,twaweza shuka daraja
Hawapo, ni majeruhi. Yupo Ribery na David Alaba. Kikosi kamili hicho hapo Mkuu...Hivi leo Boateng na Robben wapo?
Huo ndiyo ugonjwa uliopo ktk kilabu yetu pendwa duniani kwa sasa. Wakati wanajua fika kuwa ndiyo moyo wa timu yetu.Sijui kwanini wanashindwa kuwaamini watoto wao wa lamasia
AsanteHongereni sana sana Barca na mafans wake kwa ujumla Hongereni sana.....a
Asante king wetu kuwahi kutokea katika uso wa dunia
Asante mwanafunzi wake Messi/Coutinho.
I'm so happy 😀😀😀😀😀
Kwa pamoja tuombe ili madrid atolewe uefa wakuu.
Hujambo mkuu?Ameeen, imeshakuwa Mkuu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Polen sana sisi tunamsubili Roma ilituwaonyeshe kuwa ss ni magwiji wa soka .Na tunaomba sana Roma apite.Kwa pamoja tuombe ili madrid atolewe uefa wakuu.