FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Basi nyie mtakuwa na "density" badala ya "pressure" kwa kumlinda fundi wa dunia (King Messi10) ili asiongeze magoli na kuchukua kiatu cha dhahabu kwa mara ya 5 dhidi ya mfiziaji wenu.Kuwapiga madrid kwenye mechi ya jumamosi ni ngumu sana mkuu.. Sababu yeye hatakuwa na pressure yoyote baada ya kuwa ameshamalizana na Bayern Munich. Ila nyie ndio mko kwenye pressure ya kulinda record yenu isichafuliwe tena na real Madrid.
Kweli kabisa maana atakuwa na kazi ya kumzuia King from Lamasia Akademu asiongeze magoli kwa ajili ya kiatu cha dhahabu. Na kama kuna kosa la kiufundi watafanya basi atakabidhiwe mtu wa kumlinda kama mechi iliyopita, walai red kadi itawahusu tu....hahahaaa red lazima mpate aisee lazima ramos afanye mambo yake wa messi, na yule bei wenu waulia lazima atumbuizetena watazamaji kama last time
Dembele hatakiwi juenda mahali zaidi kocha anatakiwa kumpa muda mwingi wa kucheza na pia mwalimu atumie mfumu wa 433Aende atletico kama vipi, wapishane na Griezmman
Au siyo!Dembele hatakiwi juenda mahali zaidi kocha anatakiwa kumpa muda mwingi wa kucheza na pia mwalimu atumie mfumu wa 433
Kocha inatakiwa awaamini hawa madogo kama DembeleAu siyo!
Kweli kabisa Mkuu...Kocha inatakiwa awaamini hawa madogo kama Dembele
Denis Suarez kwani hawa ndiyo future ya Barca angalia Madrid anachofanya amewapa nafasi wachezaji wachanga na wamejiamini na wamefit kwenye mfumo wao na sisi tunatakiwa kufanya kama wao tuwape nafasi zaidi wachezaji wachanga kutoka Lamasia
Me Griezman akili inagoma kabsa kumkubali bado nina imani na DembeleAende atletico kama vipi, wapishane na Griezmman
Sure mkuu mfumo wa 442 umekaa kizamani sana binafsi siupendi kabsa, Dembele apewe nafasi zaidiDembele hatakiwi juenda mahali zaidi kocha anatakiwa kumpa muda mwingi wa kucheza na pia mwalimu atumie mfumu wa 433
yeah hio itakua poa sana griezman ataongeza firepower mbele kule halafu halaf mzuri kwe physical battle pia kuliko dogoAende atletico kama vipi, wapishane na Griezmman
Kuwapiga madrid kwenye mechi ya jumamosi ni ngumu sana mkuu.. Sababu yeye hatakuwa na pressure yoyote baada ya kuwa ameshamalizana na Bayern Munich. Ila nyie ndio mko kwenye pressure ya kulinda record yenu isichafuliwe tena na real Madrid.
amna doa kaka,ubingwa haunogi bila kuwapiga madrid.......ubingwa mara saba ndani ya miaka kumi si mchezo mkuu raha sana kama tuko peke yetu vile kwe ligi
Madridi atakua na pressure ya kutaka kurudisha kisasi cha 3 bila
Basi nyie mtakuwa na "density" badala ya "pressure" kwa kumlinda fundi wa dunia (King Messi10) ili asiongeze magoli na kuchukua kiatu cha dhahabu kwa mara ya 5 dhidi ya mfiziaji wenu.
Me sioni ulazma wa kumsajiri Griezman badala yake vijana wangepewa nafasiJamani mnao taka Grezman aje, niwakumbushe kuwa huyu jama anacheza upande wa kulia ambao Messi ndio upande wake, kwahiyo ni ngumu sana kuwa ataweza kucheza kama anavyocheza sasa. Pia Dembele hapati nafasi kama inavyotakiwa, na akipata nafasi ule upande anabanwa na messi
Uko sahihi mkuu, unajua Barca ni lazima itengenezwe upya, Messi hana mda mwingi wa kuchezaMe sioni ulazma wa kumsajiri Griezman badala yake vijana wangepewa nafasi
Uko sahihi mkuu, unajua Barca ni lazima itengenezwe upya, Messi hana mda mwingi wa kucheza
Ni kweli mabacki wetu wanalindwa sana na BusquateHasa kule nyuma hamko vizuri
Akina Pique ni mizigo