FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hongereni barca kwa ubingwa,hakika nyie kwa vikombe vya local hamna wapinzani
 
Ila kumbe Deportivo walitufanyia Guard of Honor kabla hata hatujawa mabingwa

Attachments

  • Guard of honor.png
    320.4 KB · Views: 30
Safi sana Barca Asante sana King Lion.

Hawa ma attaking ni kama waliambizana kupiga hattrick on yesterday, halafu wote ni waajentina.

King Messi/Barca 4-2 deportivo

Giovanni Simeon/Fiorentina 3-0 Napoli
 
Dembele namkubali zaidi ya coutinyo
 
Hongereni sana blaurigana(sijui ndio mnaitamka hivyo) kwa ubingwa wa laliga msimu huu.

Ila tu ni masikitiko yangu Asensio anakuja kuweka doa kwenye record yenu pale pale camp nou
 
amna doa kaka,ubingwa haunogi bila kuwapiga madrid.......ubingwa mara saba ndani ya miaka kumi si mchezo mkuu raha sana kama tuko peke yetu vile kwe ligi
 
Kuwapiga madrid kwenye mechi ya jumamosi ni ngumu sana mkuu.. Sababu yeye hatakuwa na pressure yoyote baada ya kuwa ameshamalizana na Bayern Munich. Ila nyie ndio mko kwenye pressure ya kulinda record yenu isichafuliwe tena na real Madrid.
 
Alikua wapi wakati mnakula 3 bernabeu?
Si ndio anakuja kufanya kazi ambayo hakuifanya game ya kwanza! Tena safari hii watajitahidi kucheza kwa nidhamu wasipate red kwa maana gap la mtu mmoja huwa linawafaidisha sana barca.
 
Kuwapiga madrid kwenye mechi ya jumamosi ni ngumu sana mkuu.. Sababu yeye hatakuwa na pressure yoyote baada ya kuwa ameshamalizana na Bayern Munich. Ila nyie ndio mko kwenye pressure ya kulinda record yenu isichafuliwe tena na real Madrid.
dah sie hatuna pressure kabisa maana tulishawapa tatu kwao so wakishnda hakuna tabu yoyote
 
Si ndio anakuja kufanya kazi ambayo hakuifanya game ya kwanza! Tena safari hii watajitahidi kucheza kwa nidhamu wasipate red kwa maana gap la mtu mmoja huwa linawafaidisha sana barca.
hahahaaa red lazima mpate aisee lazima ramos afanye mambo yake wa messi, na yule bei wenu waulia lazima atumbuizetena watazamaji kama last time
 
Si ndio anakuja kufanya kazi ambayo hakuifanya game ya kwanza! Tena safari hii watajitahidi kucheza kwa nidhamu wasipate red kwa maana gap la mtu mmoja huwa linawafaidisha sana barca.
Ujinga wa mashabiki wa mpira ni kudhani teem mpizani haitakuwa na uwezo wa kuifunga team aipendayo.
 
Si ndio anakuja kufanya kazi ambayo hakuifanya game ya kwanza! Tena safari hii watajitahidi kucheza kwa nidhamu wasipate red kwa maana gap la mtu mmoja huwa linawafaidisha sana barca.
madrid na nidhamu wapi na wapi? Mbele ya Barcelona huwa wanatepeta tu kinidhamu

Vijana wa Valverde wanasema ajenda yao kwa sasa ni kumaliza bila kufungwa sasa subiri hiyo Jumamosi uone kama madrid hachapwi 5 kama Sevilla
 
Aende atletico kama vipi, wapishane na Griezmman
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…