BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Kocha anakazi kubwa sana kusafisha yale makosa. Hawa liver wanavyoachia maspace hivi, tungeua.
UEFA u-19 Chelsea 0 Barcelona 3
Uliudhi sana kushindwa kufunga hata goli moja!Kutolewa kwa Barcelona hata ladha ya mpira umepungua sana...nnaamini tungekutananao hawa choka mbaya/Liver tungewanywesha magoli mengi tu. Ila haikuwa bahati yetu *****...yani nnahasira mno mkuu!
Uliudhi sana kushindwa kufunga hata goli moja!
Lakini hata hawa Roma huwa niwatafita sifa tu, wamewahi kumtoa real Madrid alafu wakaenda kufungwa saba na man u.
Kutolewa kwa Barcelona hata ladha ya mpira umepungua sana...nnaamini tungekutananao hawa choka mbaya/Liver tungewanywesha magoli mengi tu. Ila haikuwa bahati yetu *****...yani nnahasira mno mkuu!
tuzo zenyewe hazina uhalisia. Tatizo zinategemea kura za mashabiki. Kila mmoja ana kipenzi chake kati ya Messi na Cr7Gazeti la michezo la ufaransa, France football magazine wamemwomba msamaha kiungo wa Barcelona na spain Andre Aniesta kwa kutompa tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2010 ambayo ilichukuliwa na mchezaji mwenzake wa Barcelona Leonel Messi.
Iniesta ambaye aliisaidia Baca kupata vikombe vya laliga na UCL msimu wa 2009/2010 na kuiwezesha timu yake ya taifa Spain kunyakuwa kombe la dunia kwa kufunga goli la ushindi dhidi ya uholanzi alishika nafasi ya pili nyuma ya Messi na mbele ya Xavi Hernandez.
Gazeti hilo linasema tuzo hiyo alistahili Iniesta na si Messi kama ilivyotokea.
Tuzo ya mchezaji bora duniani hutolewa na gazeti la michezo la ufaransa la france football magazine.
Nasikia kilimshawishi pia Maestro kuondoka ni kuwapa vijana nafasi waoneshe uwezo wao pia kuitangaza brand yake ya wine huko uchinaAnakwenda kumalizia mpira wake china.
Good bye legendary our captain.
View attachment 757989View attachment 757990View attachment 757991
"Barcelona Live"Naombeni App nzru ya Barcelona
Asanta"Barcelona Live"
Ahahahaha ujaelewa tu. Furaha yetu haiwezi kukoma j4 ila inaweza kukoma mkitufunga next jumapili ya trh 6. Na sasa nawaonea Huruma Madridi mana Maestro Iniesta itakua El clasico yake ya mwisho ko mjihandaa kupokea kipigo.Kuna asilimia kubwa kesho Barcelona itatwaa la liga ,ila Furaha yao itaisha Jumanne pale real Madrid atakapofuzu fainali ya UCL