FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sergio kala umeme hapa. Kafanya poa naona Iago alikuwa anaenda kumaliza.
 
ata kama kafunga goli huyu dembele bado wa kawaida hana maajabu yeyote ukweli lazima tuseme wapenzi wa barca hile hela nyingi sana kwake
 
Ashkuru cr7 anapumzishwa kwa ajili ya uefa

Angepita nae ka mshale
 
Kanishangaza sana... wakati CL kashapotea njia
Ndio hapo sasa mkuu yani jana kanikera sana yule mzee, kwanza siku hizi ata ile record yake ya nyavu kutokutikiswa haipo tena, sasa hv watu wanauokota nyavuni tu kila siku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…