Mkuu Tatzo ni mildifield. Hil ndio tatzo kubwa sana Barcelona..viungo tulio nao wote ni wazee..I mean tunatakiwa kufanya overhaul ya viungo..tatzo hil uongoz hata haushituk.. Pia kocha wetu ni tatzo lingne..huwez kuongoza goal 4-1 ukaja kufa 3-0.. Aibu kubwa sana kwa barca..
Velverde mentality ya team ndogo bado haijamtoka kabisa kichwani inatakiwa aambiwe Barca ni team kubwa ina muscles financially na kimpira we opt for better plans za ushindi sio ku defend tu
This is shame