FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kati ya misimu ambayo sikutegemea kuwa tutabeba UEFA basi msimu huu.

Next season tutakuwa na benchi zuri sana endapo Griezmann atakuja Barca pamoja na wachezaji wengine.

Kuna haja sana ya kutafuta winger ya kushoto.
 
Siamini kama Wazee wa CATALUNYA wameaga.

Kama Utani vile.

Kumbe ndio hali halisi
 
Poleni, naona hamuamini kilichotokea.. Messi asingekua majeruhi angewasaidia.. 3-0 mamaeeee..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…