FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Majirani nawatakia ushindi sidhani kama mtachezesha kikosi cha kwanza leo
 
Hamna BP hata na mimi kwa mtazamo wangu una penda sana mabishano. Ni kwakuwa mimi na wewe hatujawahi shabikia upande mmoja kwa lolote. Ila utashi wako wa mpira huwa naukubali kila sku
Na nina enjoy kubadilishana mawazo na wewe kila time

Pamoja mkuu.


My Prediction:

Barca 2-0 Italy

King zote!
 
Well said
 
Safi sana natural RB semedo anazuia kwenye the perceived strong side ya AC Roma huku aki offer attacks za S.Roberto Right flank
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…