Anapiga interception nyingi kinoma km unakumbuka wakati ana be introduced sifa kuu ni speed ile kufika 33km/hr ni kawaida tu kwake sasa subiria azoee uone jinsi atakavyokua mtamu pia kwenye ku attack na crosses za right flank (aki-improve hapa tushaua ndege wa 5 kwa jiwe moja)Alafu anakaba kwa akili kinoma
Ndege watano???????Anapiga interception nyingi kinoma km unakumbuka wakati ana be introduced sifa kuu ni speed ile kufika 33km/hr ni kawaida tu kwake sasa subiria azoee uone jinsi atakavyokua mtamu pia kwenye ku attack na crosses za right flank (aki-improve hapa tushaua ndege wa 5 kwa jiwe moja)
Natumaini tutafika fainali japo nusu inaonekana kuja kuwa ngumu kuliko fainali.
Uwezo tunao na nia tunayoNatumaini tutafika fainali japo nusu inaonekana kuja kuwa ngumu kuliko fainali.
Plus kijambio chakoNdege watano???????
Dogo miguu yake ina dhahabu kubwa sana naamini huyu ndio atakuwa heart ya midfield akiwa na little magician moto utawaka
kilicho baki in kumsubiri bibi harusi wetu Wa saintago bernabeu tukasherehekee saba za mwanzo.View attachment 734455
Hii game imeshaisha
Defence kali halafu S.Roberto no 7 atakua free sana kukunja ma crosses na kucheza wide kule mbele huku mipira akiingiza katikati ambako Messi atakua anaua tu
Thanks coacher tuna wingers kali magoli mengi leo
Mbele tutasonga.Uwezo tunao na nia tunayo
Huwezi kuwa na form msimu mzima,na ndio maana ,na hapa real Madrid wanaposhindaga UCL.Tushukuru Barca wako out of form(by our standards) na bado wanashinda-soon watakuwa back to their best-yaani wata peak at the right moment-I fear for the other pretenders to the throne
Jana kwa kweli Barca walicheza chini ya kiwango sana, sema tu As Roma nao walikuwa wanawaogopa!Tushukuru Barca wako out of form(by our standards) na bado wanashinda-soon watakuwa back to their best-yaani wata peak at the right moment-I fear for the other pretenders to the throne
Semi final Barca v Madridiot!!!Angefunga si mngejinyea kabisa makelele humu!!!
Unfortunately Andunje sio CR7
Kama unafikiri muasisi wa "bicycle kick" ni "fake ronado" wako, ingia you tube umwone fundi alishapiga hizo "long fucker" time ago yaani...
Dogo kaonyesha uwezo wa pekee sana ktk game hizi 2, ya sevilla na hii dhidi ya Roma.