Vipaji vilivyobaki barca kwa vijana ni uyo dogo lakini nashangaa hapewi mda wa kutoshakabisa uwa naumia sana mwalimu anapomuweka nje.....hiki ni kipaji kikubwa sana hila mwalimu anatuwekea experiments zake
Hili pia lilinishangaza sanahalafu suarez kutaka kupiga freekick zote wakati mguu wake hauna macho messi hakiwa hayupo huu ni upimbi wakati mtaalamu coutinho yupo
Kivip mkuu wakat jana tumecheza game ya 30?
Kivip mkuu wakat jana tumecheza game ya 30?
Upimbi mkubwa🙂🙂halafu suarez kutaka kupiga freekick zote wakati mguu wake hauna macho messi hakiwa hayupo huu ni upimbi wakati mtaalamu coutinho yupo
Daaaah mwenyew nilichukia jana. Sijui kocha anawaza nini japo kuna muda nimemuona Dembele akipigahalafu suarez kutaka kupiga freekick zote wakati mguu wake hauna macho messi hakiwa hayupo huu ni upimbi wakati mtaalamu coutinho yupo
We are coming for RomaMessi destroyed another team with a white jersey. First it was Madrid, then Chelsea n now Seville.
[HASHTAG]#Salam[/HASHTAG] ziwafikie ROMA
Labda jamaa ukubwa ndio maana wanampatiaDaaaah mwenyew nilichukia jana. Sijui kocha anawaza nini japo kuna muda nimemuona Dembele akipiga
Dogo aliwiki sana under 21 kama Asensio. Mwenzake anapata namba na kuendelea kuwika kwa sababu anapata chances za kucheza huku sisi tukichezea kipaji kikubwa. Napendekeza mechi zijazo wawe wanacheza nusunusu na Paulinho, Dennis akianza.Huwa simutofautishagi huyo dogo na Isco Alarcon
Angekuwa bado yupo kwa villareall angeitwa national team kama Rodrigo HernandezDogo aliwiki sana under 21 kama Asensio. Mwenzake anapata namba na kuendelea kuwika kwa sababu anapata chances za kucheza huku sisi tukichezea kipaji kikubwa. Napendekeza mechi zijazo wawe wanacheza nusunusu na Paulinho, Dennis akianza.
Yaani ilikuwa kama muujiza fulani hivi...Sijaamini macho yangu. Nilizima tv yangu dk 85 nikijua tushalala. Asubuhi nikaamkia church sasa ndio nawasha simu nakuta game iliisha 2-2. King na animal wate ndani ya score shit. Unbeaten record still stands.
Dada yangu everlenk ulipotea sana. What happened hata kule kwa mashetani wekundu sikuoni.
Nakutakia heri ya sikukuu ya pasaka.
Inasikitisha sana siku Messi akiondoka Barca. Kabla hajaingia, Barca ilikuwa ya kawaida na kama seville wanhekuwa watulivu, wangepiga hata 5. Messi kaingia ndio timu ya Barca ikaanza kucheza. Ni aibu sana kwa wachezaji wote wa Barcelona kubebwa na mchezaji mmojaMessi destroyed another team with a white jersey. First it was Madrid, then Chelsea n now Seville.
[HASHTAG]#Salam[/HASHTAG] ziwafikie ROMA
Mkuu usijali ni kwasababu messi yupo,Inasikitisha sana siku Messi akiondoka Barca. Kabla hajaingia, Barca ilikuwa ya kawaida na kama seville wanhekuwa watulivu, wangepiga hata 5. Messi kaingia ndio timu ya Barca ikaanza kucheza. Ni aibu sana kwa wachezaji wote wa Barcelona kubebwa na mchezaji mmoja
AIBU na Barca bila Messi ni timu ya kawaida sana, hii imejionyesha mara kadhaa kama hachezi, huwa wanazidiwa.
Pia nafikiri hofu ya timu zingine juu ya Messi, uwepo wake uwanjank unawatia hofu. Asipokuwepo wanacheza mpira.