Pale anatengenezwa kijana Alena ni kiungo mzr sana na kumchukua Authur ni future idea mana dg anajua kudrive team kwenda mbele anajua kufunga na ku assist,
Afu kiwango walichokuwepo akina xavi, Iniesta, Busquat, Mess kuwapata mbadala wao kazi kweli ni level nyingne wale. Ndo kinawapa wakt mgumu utawala. Afu kingne sio kila mchezaji anaweza kufiti Barcelona. Ila tumeanza kuvuka kwa jinsi usajili ulivyo nauhakika team msimu ujayo itakua na muunganiko mzr sana.