FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hii game kali sana. Otamendi karudisha. 2-1 dk ya 37. hii Argentina ingekuwa na Messi ingekuwa inaongoza. imewabana Spain ila finishing mbovu.
 
Barca kwenye masuala ya pesa wapo kama wapale, we tazama hata kwenye kusajili wachezaji, wagumu sana kutoa pesa. Leo hii coutinho amekuja Barca Januar kisa tu mwaka jana ilitakiwa pesa nyingi, Alcantara ndo hivyo, leo hii angekuwa Barca ndie angekuwa ameishika timu kwa upande wa kiungo.

Kuna kipindi Messi chupuchupu aondoke Barca kwa ajili ya maslahi, leo tunataka kumsajili Griezmann.
 
Usajili wa grezman siuelewi na siufrahii kwasababu grezman ni left footer amabae anacheza upande wa kulia ambako yuko messi na dembele
 
Usajili wa grezman siuelewi na siufrahii kwasababu grezman ni left footer amabae anacheza upande wa kulia ambako yuko messi na dembele
Pale kuna fraud kubwa sana.. Viongoz hawana maono kabsa..iniesta anaondoka je ni nan kaandaliwa...? Pengo la xav mpaka Leo hii halijazibka ..upuuz Wa kumuachia alcantara wakat wanajua kabsa xavi umri umemtupa.. Uongoz unawaza kujaza forward line tu wakat tatzo kubwa zaid lipo kwenye mild field.., cjui wanafkriaje pale kat. Ractic,, busquet, paulhno, iniesta, umri sio Rafk tena kwao na bado walikomaa kumleta coutnho pekee bla kutafuta mbadala Wa mda mrefu pale katkat..sina iman kabsa na utawala Wa huyu rais..
 
Ndio wanapaswa kuwa wagum kama wana mbadala...! lakn Enrique alitumia pesa nying sana kwenye usajil Wa michezaj ya hovyo zaid tena kwa gharama kubwa zaid..almost 90% aliowanunua Enrique walikua zero kabsa..kinachonishangaza zaid barca hii kwa sasa haiwekez kwa vijana ...ni team isio kuwa na muunganiko mzur kwa sasa..

Nafkr ni Wa rais Wa team Ku step down..sion analolifanya pale
 
Tutakuwa kama mashabiki wa asenali
 
Dennis Suarez anatufaa mbele ni lakn kuna kila dalili za kijana kusepa, labda huyo Arthur Melo ndio kiungo mbadala
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…