Maswali mengine ya kiwaki sana mzee, mtu anajua hasimu mkubwa wa barca ni madrid alafu anauliza kwann mkishinda mnaiongelea madrid. Sasa sijui alitaka tuiongelee simba?