Mkuu relax kwa match ya leo mzigo uko hvyo.Itakua safi sana mkuu kama kweli mzigo ukiwa hivyo maana hii game inanipa presh sanaaa
So funny eti 1-1 na Las Palmas vibonde kabisa msimu huu....Mkuu relax kwa match ya leo mzigo uko hvyo.
Lkn ni kweli kocha anazingua sana kuna baadhi ya match ni za kushinda lkn anatoa draw na mchezo unakuwa sio wa kuvutia kabisa. Lkn kwa leo tuna shinda
Hahah!! Hii kauli yako itanifanya nisiangalie game mana tico moto wao sio poaHii game tukikaza sana draw
Namatokeo yetu ya mwisho yameshampa kiburiElcholo anataka kombe
Mkuu mm binafsi hii match sina shaka nayo na ushindi kwetuElcholo anataka kombe
Duh kazi tunayo
Game ni ngumu mkuu ila tunachoomba tushinde tu, barca wasituangusheDuh kazi tunayo
Una ongea kama nan et[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji123] [emoji123] unbeatenBarca hamna uwezo wa kumfunga atletico kwa kipindi hiki kiwango chenu kimeshuka sana
Wivu wa kike ,umetumia kigezo gani?[emoji23][emoji23][emoji23]Barca hamna uwezo wa kumfunga atletico kwa kipindi hiki kiwango chenu kimeshuka sana
Mkuu mwekundu ili ni neno kuanza kuwaogopa ATM sio kuitendea haki Barca ila mda mwingine maamuzi ya huyu kocha wetu ni majanga.Barcelona sio team ya kuiogopa Atletico otherwise utakua unaidharirisha T shirt
Game ya leo tunashinda na ku secure point tatu muhimu
Trust my word,tena leo Cholo atadharirishwa sana Camp Nou
Sorry wakuu,Inplay
Russia
UFA vs Dynamo Moscow
UFA win or draw full time
Odds: 2.45
Stake: 100%