Real madrid kachukua mara 33, Barcelona mara 24, Atletico mara 10Na huo ndio uhalisia. Ata mimi siamini Atletico kubeba hili kombe, miaka mingi Barca ndo huwa anabeba sana LA LIGA kuliko timu yoyote, itokeage tu mara moja moja ndo wanabebaga akina Madrid na Atletico.
Nilishatangaza na ninasema tena yule dogo soka lake linaelekea kufa mapema kama ilivyo kwa ndugy yake kaka.Neymar akiibeba Madrid kama anavyoibeba Ronaldo naacha kufatilia soka. Labda ana Ronaldo awepo pia uwanjani humohumo ila sio kusema amreplace Ronaldo.
Nahic Valverde hawaamini vijana anakomaa na wakongwe ambao wengi ni magarasaWadau kuna kina dalili ya kupigwa na Atletico na Chelsea sababu ya ujinga wa kocha na pia makombe tutayasikilizia kwa jirani nawaambia
Kocha hana sababu ya msingi kumweka Denis njee matches 11 alafu anaangaika na magarasa kama Gomez na Vidal ambao hawana maana kwa team
Dogo sehemu za kwenda kucheza walau angeenda bayern au man city, PSG? Hapana kwa kweli. Na mpaka sasa yupo pabaya kwa kweli.Nilishatangaza na ninasema tena yule dogo soka lake linaelekea kufa mapema kama ilivyo kwa ndugy yake kaka.
5.GomezMsimu ujao tuanze kuondoa takataka hizi
1. Aleix Vidal
2. Digne
3. Paulinho, ila namuona anazidi kushuka kiwango tu.
Game ya jana sio ya kutoa draw ile.
Dogo msimu kashamaliza maana anakaa nje week 6Dogo sehemu za kwenda kucheza walau angeenda bayern au man city, PSG? Hapana kwa kweli. Na mpaka sasa yupo pabaya kwa kweli.
Upanuzi wa uwanja wa ndege waBarecelona hautawezekana kwa sababu "ndege haziruhusiwa kupaa juu ya nyumba ya Lionel Messii "kwa mujibu wa Rais wa Vuielig Javier Sanchez-Prieto. (Marca)
Wanasema ni njia yakwendea madrdDogo sehemu za kwenda kucheza walau angeenda bayern au man city, PSG? Hapana kwa kweli. Na mpaka sasa yupo pabaya kwa kweli.
Kama kawa hakuna DenisBarca squad for tomorrow's game
Where on the earth is Dennis Suarez?Barca squad for tomorrow's game
Hahaaaa Valved has the answer to your question broWhere on the earth is Dennis Suarez?
Aisee hii mbona kali ya mwakaUpanuzi wa uwanja wa ndege waBarecelona hautawezekana kwa sababu "ndege haziruhusiwa kupaa juu ya nyumba ya Lionel Messii "kwa mujibu wa Rais wa Vuielig Javier Sanchez-Prieto. (Marca)
Inshaalah!04/03/2018
Full time : Barca 4-2 Atletical
Mkuu yaani toka usiku akiri yangu inaniambia hvyoInshaalah!
Kocha anataka kuleta utoto huyu, alafu kuna watu wanamtetea eti kwa kigezo cha kutokupoteza game ata moja. Sasa sijui kuna umuhimu gani kuwa hujapoteza gane na mpinzani wako kapoteza lakini anakupa presha mana point ulizomuacha sio nyingiUyu coach kesho tukipigwa atatutambua
Itakua safi sana mkuu kama kweli mzigo ukiwa hivyo maana hii game inanipa presh sanaaaMkuu yaani toka usiku akiri yangu inaniambia hvyo
Sasa leo achange karata zake vizuri iwe isiwe tushinde hii gameKutopoteza game kwakwe mpaka sasa nakuona ni useless tu hakuna maana