FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wanaudhi sana, inabidi kuwaambia tu sasa maana hakuna namna, inatisha Zawadi waliyotuletea kutuonesha kutangaza waache
Waambiwe ili waishie kufanya dubbing tu kwny beintea na ue upuuz mwngne cjui majin cjui naajin

Hasa kwny mechi zetu maana huwa tunakosa kujua vtu vingi toka kwa english comentators kwa kwel
 
Samuel Umititi wa leo alipooza sana, Sergio Roberto yuko vizuri sana anajituma mno.
Pongezi pia kwa Pique kacheza vizuri sana.
Umtiti leo sio kawaida amechoma sana ,Maestro Iniesta kaharibu sana nae leo ,lakini wametupatia ushindi na ni binadamu making mistakes is part of our life and the end justifies the means -Tumeshinda
 
Umtiti leo sio kawaida amechoma sana ,Maestro Iniesta kaharibu sana nae leo ,lakini wametupatia ushindi na ni binadamu making mistakes is part of our life and the end justifies the means -Tumeshinda
Ni kweli mkuu.
 
Ushindi Wa 2/0 ugenini sio wa kubeza. Hiyo team siyo lipuli au njombe mji au mbao ya Mza.
Point 3 with clean sheet. Good record japo performance haijawafurahisha.
Ni kweli performance ilikuwa tia maji tia maji
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…