Hivi Denis Suarez kwann hacheziKuna na mwenzie wa kuitwa Paco Alcacer huyu jamaa simwelewagi kabisa uwanjani kama game iliopita niliona anazurura tu uwanjani hajulikani ata number ngapi kwenye ile match
Ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23]Tuungane kwa sala kila mmoja kwa imani yake tumuombee kocha wetu asimuanzishe Gomes
Watatulia tu halafu hawa ni rahisi kufungika mkuuHawa eiber wameanza na moto
Mkuu hizi ni tacticshuyu kocha fala sana unamuanzishaje paulinyo au rakitic unamuacha countinho bench
Usiwe na wasi wasi na Paulinho mkuu huyo mwamba anajua sanahuyu kocha fala sana unamuanzishaje paulinyo au rakitic unamuacha countinho bench
Mkuu hii match imeshaishaBarca wanatakiwa kushinda tena sio kushinda tu bali kushinda ushindi mzuri, game iliopita wamesuluhu na timu ya kawaida tu tena nyumbani,
Game ya leo wanatakiwa kushinda ushindi wa maana tu yani wakizingua watanipa wasi wasi sana hiyo game ya UEFA na Chelsea mana Chelsea ni timu kubwa japo haipo vizuri sana kwa sasa ila watapata ujasiri kutokana na historia yao na sisi
Wajitahidi basi wapate ata magoli ya kutosha mkuu, huyo Mess nae afunge sasa na sisi tutambe basiMkuu hii match imeshaisha
Yaah ni kweli, na yanakuja tu kipindi hiki cha pili. Sema inabidi afanye mabadiliko Ineista atoke aingie CotinhoWajitahidi basi wapate ata magoli ya kutosha mkuu, huyo Mess nae afunge sasa na sisi tutambe basi
Poa ngoja tuone inakuaje hapa mana takwimu za game mpaka sasa zinatisha sana lolote linaweza kutokea. Furaha yetu ni ushindi mzuriYaah ni kweli, na yanakuja tu kipindi hiki cha pili. Sema inabidi afanye mabadiliko Ineista atoke aingie Cotinho