FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kusema kwel mpira umechezwa wakutosha sema tu, walikuwa vizuri kuzuia penetrating passes zetu, af kipa kawasaidia sana, vinginevyo wangeoga mengi sana
 
Alves wamecheza mpira mzuri na wametukamata kati pale kipindi ya kwanza kilichosaidia ni kuingia kwa Alba na Sergio
Si kwa ukuta ule wa madogo asee!!! Sina hamu nao, walikuwa wengi kule nyuma na kazi yao ilikuwa ni kuzuia pasi zote, S.Roberto na J.Aliba wamefanya kazi ya ziada. Thanks kwa Suarez na Messi10.

Usiku mwema wadau...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…