Haya haya perfect combination La midfielders kibao....Coutinho,Paulinho ,Iniesta na Rakitic watachezaje lets see
Ha ha ha katitaki na left flank Alaves wajiandae sio siri tena tutapitia huko
Naziona goli 6-0 leo
Ila jamani Paulinho is very tragic mnakumbuka maneno ya Messi kua ni animal?
Naona ameingia katika wachezaji thnaowategemea now over night
Safi sana keep it