Mkuuaisee nyie watu manaobishana hapo juu anaebisha kwamba ronaldinho hakuwa gwiji la soka mbora pengine kuliko wote duniani **** anina zake yeye ni pimbi hajui soka
aisee mkuu mshabiki wa soka akikuambia gaucho alikuwa pia ''the allien'' usimbishie yuko sahihi 200%Mkuu
Kuna kitu ukitilia maanan utakigundua ktk mabishano haya
For instance huwez kusema ronaldinho si gwiji
Ila unapovuka mpaka na kumlinganisha na "the alien"
Aaaaaaah
Kaka utapotea kwa miluz ya watu humu
Ha ha ha haaisee mkuu mshabiki wa soka akikuambia gaucho alikuwa pia ''the allien'' usimbishie yuko sahihi 200%
nishakuambia huyo messi wako mwalimu wake gauchoHa ha ha ha
Kama n "the allien" sawa
Ila kama n "the alien" yupo mwnyw ambae anajulikana
N nlipata kusema gaucho alkuwa fund wa kuchezea mpira uswaz twasema madoido
Subir neymar labda baadae huko ndo unaweza kumfananisha na gaucho ila sio kiumbe hiki cha sasa tukijuacho mkuu
Aaaaaaaaaaaahnishakuambia huyo messi wako mwalimu wake gaucho
vile vitu vya ziada unavyoviona kwa messi ni copy and paste toka kwa gaucho
niamini mimi
Aaaaaaaaaaaah
Copy and paste tena??????
Mkuu nna mashaka na ww juu ya uelewa wako juu ya historia ya messi
Ligi ya mabingwa wana PSG ***** hali mbaya sanaMadridiots msimu huu watatoka kapa
Both Messi and Gaucho are our loved legends but comparing an alien who descended in Argentina and came in Barcelona with one great worldly talented Brazilian is an abomination before God's eyes. Let's agree to disagree Gaucho was awesome but Messi is incomparable in this life and in the life after next life.kwanza gaucho kaitoa barca kutoka shimoni na ndie aliepa taji kwa mara ya kwanza toka enzi za magwiji kina johan cruyf, gaucho kaja barca akiwa jeshi la mtu mmoja akiwafunika kina magalacha wa madrid zidane ronaldo ( naamini hapa unaelewa nawazungumzia watu wa aina gani? sio huyu bishoo panado wa sasa) ila messi anabebwa kwa vile kwa sasa barca tayari ni complete team na unaweza ukaona jinsi anavyohangaika akiwa argentina
mie hapa nilipo nimelewa lakini nawashinda kwa ufahamu
shame on you na hao wenzako waimba taarab
Mimi naomba kuuliza inakuwaje huyu Gacho hatajwi in the same breath as Messi,Ronaldo,Maradona and Pele AU football pundits wana overlook??kwanza gaucho kaitoa barca kutoka shimoni na ndie aliepa taji kwa mara ya kwanza toka enzi za magwiji kina johan cruyf, gaucho kaja barca akiwa jeshi la mtu mmoja akiwafunika kina magalacha wa madrid zidane ronaldo ( naamini hapa unaelewa nawazungumzia watu wa aina gani? sio huyu bishoo panado wa sasa) ila messi anabebwa kwa vile kwa sasa barca tayari ni complete team na unaweza ukaona jinsi anavyohangaika akiwa argentina
mie hapa nilipo nimelewa lakini nawashinda kwa ufahamu
shame on you na hao wenzako waimba taarab
1.goal chache
2.Assist chache
3. Kukata viuno kwingi
kwanza gaucho kaitoa barca kutoka shimoni na ndie aliepa taji kwa mara ya kwanza toka enzi za magwiji kina johan cruyf, gaucho kaja barca akiwa jeshi la mtu mmoja akiwafunika kina magalacha wa madrid zidane ronaldo ( naamini hapa unaelewa nawazungumzia watu wa aina gani? sio huyu bishoo panado wa sasa) ila messi anabebwa kwa vile kwa sasa barca tayari ni complete team na unaweza ukaona jinsi anavyohangaika akiwa argentina
mie hapa nilipo nimelewa lakini nawashinda kwa ufahamu
shame on you na hao wenzako waimba taarab
Mkuu tunataka squad yetu iogopwe duniani kote tunataka kama ni laliga first leg game na madridiots kikosi kingne second leg kikosi kingne na game zote achezee kipigo
Ligi ya mabingwa wana PSG ***** hali mbaya sana
Both Messi and Gaucho are our loved legends but comparing an alien who descended in Argentina and came in Barcelona with one great worldly talented Brazilian is an abomination before God's eyes. Let's agree to disagree Gaucho was awesome but Messi is incomparable in this life and in the life after next life.
Nami nashangaaMimi naomba kuuliza inakuwaje huyu Gacho hatajwi in the same breath as Messi,Ronaldo,Maradona and Pele AU football pundits wana overlook??
Gaucho anaingia Mara 8 kwa messiaisee mkuu mshabiki wa soka akikuambia gaucho alikuwa pia ''the allien'' usimbishie yuko sahihi 200%
Hahaha unachekesha wewe sijawahi ona gaucho anakusanya kijiji cha watu wa 5nishakuambia huyo messi wako mwalimu wake gaucho
vile vitu vya ziada unavyoviona kwa messi ni copy and paste toka kwa gaucho
niamini mimi
Sipendagi ujingaHhah unaroho mbayaa
Hahaha daahSipendagi ujinga
Ikibidi greizman atue alfu na sane nae tumunyakue na KDB hapo tutaogopwa kama ugonjwa ule mkubwaHahaha daah