Mkuu mimi ni barca damu lakini sijaona gaucho alichofanya zaidi ya kuweka mpira matakoni Mara kichwani ana kipi kipya zaidi ya kuchezea mpira
Ambao mpo brainwashed ni nyie mnaomtetea gaucho mkiambiwa mleta statistics mnaanza kujibu ujinga messi ni bora Mara 7 ya gaucho
Leo utachezwa mpira ambao haujawahi kuonekana mafundi wote uwanjani.....!!Iniesta centrally
I would go for Messi.Mimi Enzi za Gaucho,mpira nilikuwa siujuwi-hence I cannot judge-je Gaucho in his prime na Messi in his prime nani angekuwa the first in the team sheet???
Munir Al Hadad, yupo Alaves.Kuna dogo anaitwa munir asee namkubali sana sijui yupo wapi kipindi hiki
Hizi hapa boss.Mkuu
Tafadhal naomba stats za mafanikio ya gaucho kwny kabumbu
Ar u serious mkuu
Hebu nipe facts zako zinazo onyesha kua a winner of two balon d'ors was overrated!Ar u serious mkuu
Kwamba kwa stats hizi ndo mishipa ya shingo inakutoka humu kwel?????
Hebu nipe facts zako zinazo onyesha kua a winner of two balon d'ors was overrated!
Kama hauna let's call it a day!
Asanteacha kujitia barca damu wewe mbweha nenda kafate neymoney psg najua unatafuta sana umaarufu kupitia jf
1.goal chacheHebu nipe facts zako zinazo onyesha kua a winner of two balon d'ors was overrated!
Kama hauna let's call it a day!
Alikukatikia nini babu tuambie kama Gaucho amefanya yake1.goal chache
2.Assist chache
3. Kukata viuno kwingi
Kuna watu humu JF,walitaka huyu apigwe bench-kwamba Velverde anakosea kumpanga-hakuna hitman katika present world soccer mwenye vision ya goal kama huyu-he may miss a chance or two but presence yake upfront ni priceless,his movements off the ball hana mfano no defender is at peace akiwepoView attachment 683890
Well deserved
Hujawahi kuona anavyocheza mpira kwa kukatika kama moze iyoboAlikukatikia nini babu tuambie kama Gaucho amefanya yake
Nakumbuka ni mwanzo wa msimu ila mimi nilikua nasingizia hayuko fit kwa sababu ya injury ili tu tumpe muda i kept faith on him kama ujio wa Paulinho i was ooh no commentKuna watu humu JF,walitaka huyu apigwe bench-kwamba Velverde anakosea kumpanga-hakuna hitman katika present world soccer mwenye vision ya goal kama huyu-he may miss a chance or two but presence yake upfront ni priceless,his movements off the ball hana mfano no defender is at peace akiwepo
Mkuu tunataka squad yetu iogopwe duniani kote tunataka kama ni laliga first leg game na madridiots kikosi kingne second leg kikosi kingne na game zote achezee kipigoWakuu mm niko tofauti kidogo, mtazamo wangu sioni haja ya kuja kwa Grezmani. Wachezaji tunao, watatusumbua sana kuna wengine wataaza kuindoka. Akija kijana kama Dembele anaweza fikiri kuondoka pia tuna dogo kama Arnaiz anapiga fresh tu.
Hapo namba tatu pamenionyesha aina ya mtu ninae bishana nae.1.goal chache
2.Assist chache
3. Kukata viuno kwingi
Huo ndo utu uzimaHapo namba tatu pamenionyesha aina ya mtu ninae bishana nae.
Let's agree to disagree!