FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wako brainwashed hao wapumbavu ,Gaucho ameshawahi kupata hadi standing ovation Bernabeu ilisimama *****,ni winner wa world cup pia
Hao wajiunga kinachowauma kwa sababu historia ya Dinho iko based sana kwenye team bora ya dunia Barcelona
Mkuu mimi ni barca damu lakini sijaona gaucho alichofanya zaidi ya kuweka mpira matakoni Mara kichwani ana kipi kipya zaidi ya kuchezea mpira
Ambao mpo brainwashed ni nyie mnaomtetea gaucho mkiambiwa mleta statistics mnaanza kujibu ujinga messi ni bora Mara 7 ya gaucho
 
Ha ha aya huu ni ubishi wa wananyumbani tuachie hapa tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…