Kaka hiyo heading siinaonyesha, hawa uliowataja ni uamso wa baraMkuu UAMSHO ni kina nani?au ni kina Mchemba?
Kaka hiyo heading siinaonyesha, hawa uliowataja ni uamso wa baraMkuu UAMSHO ni kina nani?au ni kina Mchemba?
Nina Uhakika hata Mwema hataruhusiwa kuwa hata mita 100 karibu na Obama. Ndo maana wamesema watasimamia Ulinzi wenyewe. Hivi viongozi wetu wanajisikiaje hapo.kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo, ni kuwa viongozi wakiwemo mawaziri na wabunge wataokutana na Obama watachaguliwa na wamarekani wenyewe kwa kutumia vigezo vyao , bila shaka watu wenye sifa katika kukuza demokrasia na wasio mafisadi. kwa kuwa kuna ushahidi wa wazi kuwa mwigulu na wenzake hapo juu ni waratibu wa vikundi vya kutesa watu, kubambikizia wengine kesi za uongo, na kulitumia jeshi la polisi vibaya ni vema hawa watu wasiruhusiwe kabisa kushiriki hiyo ziara, hili litakuwa funzo kwa madikteta wengine
zenj sii nchi kamil????
sasa kwa nini Obama anakuja Tanganyika na haendi Zenj??
Bkb na Kigoma ni Mikoa ya Bara
Mbona ni rahisi sana kujua watakaonyimwa fursa ya kuonana na Obama.
[1] Col A. Kinana
[2] Mwigulu Nchemba
[3] Steven Wassira
[4] Wiliam Lukuvi
[5] Mizengo Pinda
Ni ngumu uamsho kumpokee Rais wa dunia
zenj sii nchi kamil????
sasa kwa nini Obama anakuja Tanganyika na haendi Zenj??
Bkb na Kigoma ni Mikoa ya Bara
1. Ole wao wang'oao kucha za wenzao na wang'oao meno ya wenzao wakati hayana tatizo lolote tena bila ganzi kwa kuwatekasawa kabisa Obama usikubali kumshika mkono mwigulu chemba, nape, lukuvi, na wasira hawa ndo wanaratibu mauaji hapa nchini
Achakua mtumwa mTZ mwenzangu, hata mimi ninge kua nina cheo cha waziri mkuu ninge goma kwenda kumpokea huyo SHETANI. Kwanza wanaendelea kumuona mwafrica si chochote, kutaka kukabidhiwa mamlaka ya uwanja wa ndege yani wenyewe wawe ndio wasimamizi wa kuu wa shughuli zote ziendeleazo hapo uwanjani ni kuthibitisha kwamba sisi hatuna ulinzi ulio kamilika. Kama hatuwezi kujilinda maanayake jeshi letu ni dhaifu, sasa haya sio matusi? Nachukia sana mtu asie tambua thamani yake.
aiseeeee babayangu namba 6 NI KIKWETE
Hivi kwa nini Zanzibar haipo kwenye ratiba ya Obama wakati ni sehemu ya Jamhuri?
Je huu sii ubaguzi??
Mkuu naona katika watu walioudhiwa na huu ''udhalilishaji'' ni wewe! Hata mimi zamani nilikuwa hivyo hivyo, lakini sasa nimezinduka. Kwanin? Kwa sababu ni sisi tunayataka wenyewe! Ukiwa mvivu na mpenda vya bure tegemea kabisa hata kulawitiwa ili usife njaa! Ningekuwa mimi ndio kiongozi wa ulinzi wa rais Obama ningesema viongozi wote wa Tanzania watakaokuja kumpokea wakaguliwe kwa kusaula suruwali na kubaki uchi, halafu wafilame ili kuhakikisha hawajaweka vitu hatari.....Achakua mtumwa mTZ mwenzangu, hata mimi ninge kua nina cheo cha waziri mkuu ninge goma kwenda kumpokea huyo SHETANI. Kwanza wanaendelea kumuona mwafrica si chochote, kutaka kukabidhiwa mamlaka ya uwanja wa ndege yani wenyewe wawe ndio wasimamizi wa kuu wa shughuli zote ziendeleazo hapo uwanjani ni kuthibitisha kwamba sisi hatuna ulinzi ulio kamilika. Kama hatuwezi kujilinda maanayake jeshi letu ni dhaifu, sasa haya sio matusi? Nachukia sana mtu asie tambua thamani yake.
Sasa kuhusu Viwanja vyetu wanasimamia wao wenyewe kila kitu kwani hii nchi yao au yetu du naona tunadhalilika mgeni kaja nyumbani kwako lakini anachagua kila kitu yeye hata chumba cha kulala anachagua,huyu anaweza akalala na mkeo kabisa nawe ukakaa kimya,unyonge mbaya sana.Ivi uhuru tulio upata wa Africa ni upi? Ivi mpaka lini tatacha kuji dhalilisha na kudharauliwa na hawa tunao waita wahisani? Yani mgeni ajiamulie ni viongozi gani watakao mpokea! Sijaona na sikutegemea kuona. Hivi kweli viongozi wetu wakiendaga huko ktk nchi zao hufanyaga hivi? Jamani sisi wa Afrika bado ni watumwa bado hatujawa huru mwafrika bado si chochote kwa wazungu, roho ina niuma sijui chakufanya. Laiti ninge kua na nguvu ya ushawishi ningeitisha maandamano nchi nzima kupinga ujio wa huyu shetani (Obama). Sisi huku ktk nchi zao tuna dharaulika nakuonekana kama vibweka, hata wanapo kuja viongozi wetu wa kitaifa huwezi jua labda uwe ni mtu mfuatilia habari. Mfaransa hawezi kushulika na ujio wa mtu kama Kikwete, Zuma wala sal ni sisi tu Africa. Leo mpaka mtu aliopo chamwino mtamba swala kiteto mpaka rwaluke anajua kua kuna ujio wa Obama nchini kwetu. Nachukia sana.
kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo, ni kuwa viongozi wakiwemo mawaziri na wabunge wataokutana na Obama watachaguliwa na wamarekani wenyewe kwa kutumia vigezo vyao , bila shaka watu wenye sifa katika kukuza demokrasia na wasio mafisadi. kwa kuwa kuna ushahidi wa wazi kuwa mwigulu na wenzake hapo juu ni waratibu wa vikundi vya kutesa watu, kubambikizia wengine kesi za uongo, na kulitumia jeshi la polisi vibaya ni vema hawa watu wasiruhusiwe kabisa kushiriki hiyo ziara, hili litakuwa funzo kwa madikteta wengine
sawa kabisa Obama usikubali kumshika mkono mwigulu chemba, nape, lukuvi, na wasira hawa ndo wanaratibu mauaji hapa nchini
Tatizo letu Waafrica wasasa sio wazalendo ka walio tutangulia, achilia mbali kuji tambua na kuji thamini, tena wengi wetu hatuji amini yani utafikiri tumekuja duniani kuja kuwa wanyonge kwa hawa wenye rangi nyeupe. Hii ndio nafasi waitumiayo wenzetu kutu dharirisha na kutu buruza kila leo. Utakuta mpaka kiongozi wa ngazi yajuu katika taifa (Rais) nae ni walewale (kama raia wake tu) unaweza ukasikia kati ya mambo yatakayo jadiliwa siku hiyo baina ya viongozi hao ni Rais wetu kumshitakia Rais mwenzie (Obama) kua Kagame kamtukana na mambo ya kijinga kama hayo. Sasa je unategemea nini kama sio kudharauliwa? Kwani Obama ninani ktk dunia hii? Kama ni kiongozi basi hana tofauti na Ermando Imirio Gebuza, sasa kwanini tumtukuze kama mungu mtu? Nachukia sana tabia hiyoKikwete alikuwa UK juzi juzi hata gazeti la Evening Standard linalogawiwa bure hawakuandika chochote kuhusu Kikwete. Mkuu nakukubalia Africa tuna miaka 2000 kufikia walipo wenzetu sasa hivi. Na bado kuna watu wanajidanganya ukiwa na pesa Dar kama huko New York thubutu!