Fatuma Karume: Mwambieni Ndugai Kanuni za Bunge si Sheria za Nchi, hazituhusu sisi

dunga amelewa madaraka
 
Alienda tu kwakuwa kipindi cha mwendazake, hata askofu angeweza kuitwa kwa mufti na kusomewa shitaka kwa kauli aliyoitoa kanisani!!
Hivi ukiitwa halafu uko Dar na ukawa huna nauli ya kwenda Dar inakuwaje?
 
Ndugai anajibaraguza na kinga asiyokuwa nayo, kila mtu anawajibika kwa sheria za nchi, hayupo aliye juu ya sheria bali ni Mungu pekee.......hata Mungu huwa anaapa kwa jina lake kwamba hatafanya au atafanya jambo fulani na haendi kinyume.
 
Masikini! Kweli huyu jamaa anahitaji somo. Ndiyo maana anakanyaga katiba aliyoapa kuilinda. Hajui hata matumizi ya kanuni za bunge analoliongoza.
 
Naona wewe ndiye Ndugai
 
Kuliko kuwashambulia tu wadau, si uweke hiyo/hizo kanuni zinazompa Spika hayo mamlaka ya kumuita mbele ya kamati mtu yeyote!! Maana naona mazungumzo matupu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…