Fatma Karume: Wakristo msikubali shehe wa Dar Alhad Salum awagawe kwa kuwachagulia maaskofu wa kweli kweli na wa uongo

Naona kashapata mada ya kuongelea kwenye space hawa mabinti wawili wa waliokuwa viongozi zamani wamechanganyikiwa. Wazazi wao waliwasomesha nje ili waje wawe msaada kwao ila wamegeuka vitu vya ajabu kwa kuiga na kuchanganya itikadi za nje za hovyo na wanakuwa kazi yao ni kupinga kila kitu.

Alichokiongea Sheikh Alhadi( peace be upon him) ni fair comment ya kile alichokishuhudia kuhusiana na taratibu za kupatikana na kusimikwa kwa Akofu akilinganisha na wasanii wanaoibuka mjini kama akina MASHIMO, PILIPILI , SHILLAH na wengine wengi ambao wanaibuka na kujiita ama wachungaji, manabii, maaskofu na kuanza kufanya mambo kinyume na kanisa na lawama zinakwenda kwenye ukristu

Kanisa linachafuliwa sana kwa baadhi ya watu wanaojifanya ni wakristu, wanajenga majengo yao wanaanza kufanya mazingaombwe yao huko lakini mtu asiye mkristu hawezi kutofautisha maana hata mavazi wanaiga kams ya vviongozi wa kanisa

Hayo, mambo bi fatma tulia kabisa wala hayakuhusu, sheikh hajakosea popote na wenye dini yao hawajalalamika popote na hujui lolote kuhusu migawanyiko na sababu za kugawanyika kwa kanisa na kwa nini mpaka leo kanisa katoliki limesimama na misimamo yake iliyoifanya hao wengine kuondoka na ni kwanini hao waliojitoa mpaka leo wanaendelea kumeguka
 
Na wewe uache kujipendekeza..kanisa limenadilu msimamo wake sana tu...kwa mfano kucheza kanisani..kunena kwa lugha kupitia kikundi cha waroma chrismatics..na mengine lukuki.

Acheni injili ihubiriwe kanisa rc lina makando kando kibao na mengi hadi papa aliomba samaha wazi wazi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa ila na yeye mambo ya wakristo na waislamu sijui mashehe , na maaskofu ni yale yale ya Divide and Rule..., ukizingatia wote ni Watanzania
 
Na wewe uache kujipendekeza..kanisa limenadilu msimamo wake sana tu...kwa mfano kucheza kanisani..kunena kwa lugha kupitia kikundi cha waroma chrismatics..na mengine lukuki. Acheni injili ihubiriwe kanisa rc lina makando kando kibao na mengi hadi papa aliomba samaha wazi wazi.
Mkuu jinsi unavyoandika kwa makosa mengi, inakuwa vigumu hata kuzingatia hoja yako, maana mbali na hoja, watu huwa pia wanaangalia upeo wa mtoa hoja
 
Wakili msomi Fatma Karume ametoa rai kwa waumini wa dini ya Kikristo kutokubali kugawanywa na Shehe wa Dar es salaam alhad Mussa Salumu ambaye anawapangia wepi ni maaskofu wa kweli kweli.

Karume anasema Wakristo msiukubali huo mtego wa Divide and Rule.

Mungu ni mwema wakati wote!
Yaani askofu atawaliwe na sheikh?
 
Nilishangaa jana catholic kumsimamisha mtu asiyestahili madhabahuni

Rwachi acha kutumia urafiki wako na huyo bwana kuharibu kanisa
Kadinali Pengo asingeruhusu huu ujinga

Tunamuomba balozi wa Vatican nchini amwandikie barua Papa kuhusu upotofu unaofanywa na rwachi
Kanisa Katoliki Tanzania na duniani lina misingi imara sana. Usiwe na hofu.
 
Back
Top Bottom