joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 15,104
- 31,661
Wanasiasa na wanaharakati hili wanatembea nalo............
Kama gwajiboiKwani si kweli, kuna watu wanajipa uaskofu hovyohovyo!
na akili zako unamuamini huyo mwnamke wa maslahi tmia ubongo kufukiriKwani mbona shuleni walimu wa kike ni wengi tu,oyaaa mama ako nae si mwanamke? Au men
Absolutely.Kama gwajiboi
Na wewe uache kujipendekeza..kanisa limenadilu msimamo wake sana tu...kwa mfano kucheza kanisani..kunena kwa lugha kupitia kikundi cha waroma chrismatics..na mengine lukuki.Naona kashapata mada ya kuongelea kwenye space hawa mabinti wawili wa waliokuwa viongozi zamani wamechanganyikiwa. Wazazi wao waliwasomesha nje ili waje wawe msaada kwao ila wamegeuka vitu vya ajabu kwa kuiga na kuchanganya itikadi za nje za hovyo na wanakuwa kazi yao ni kupinga kila kitu.
Alichokiongea Sheikh Alhadi( peace be upon him) ni fair comment ya kile alichokishuhudia kuhusiana na taratibu za kupatikana na kusimikwa kwa Akofu akilinganisha na wasanii wanaoibuka mjini kama akina MASHIMO, PILIPILI , SHILLAH na wengine wengi ambao wanaibuka na kujiita ama wachungaji, manabii, maaskofu na kuanza kufanya mambo kinyume na kanisa na lawama zinakwenda kwenye ukristu
Kanisa linachafuliwa sana kwa baadhi ya watu wanaojifanya ni wakristu, wanajenga majengo yao wanaanza kufanya mazingaombwe yao huko lakini mtu asiye mkristu hawezi kutofautisha maana hata mavazi wanaiga kams ya vviongozi wa kanisa
Hayo, mambo bi fatma tulia kabisa wala hayakuhusu, sheikh hajakosea popote na wenye dini yao hawajalalamika popote na hujui lolote kuhusu migawanyiko na sababu za kugawanyika kwa kanisa na kwa nini mpaka leo kanisa katoliki limesimama na misimamo yake iliyoifanya hao wengine kuondoka na ni kwanini hao waliojitoa mpaka leo wanaendelea kumeguka
Mkuu jinsi unavyoandika kwa makosa mengi, inakuwa vigumu hata kuzingatia hoja yako, maana mbali na hoja, watu huwa pia wanaangalia upeo wa mtoa hojaNa wewe uache kujipendekeza..kanisa limenadilu msimamo wake sana tu...kwa mfano kucheza kanisani..kunena kwa lugha kupitia kikundi cha waroma chrismatics..na mengine lukuki. Acheni injili ihubiriwe kanisa rc lina makando kando kibao na mengi hadi papa aliomba samaha wazi wazi.
Una akili kumzidi jiwe aliyesema nireteeni gwajimaaaaa×3Absolutely.
Gwajima mwanasiasa, siyo kiongozi wa kidini. So Magufuli was very right.Una akili kumzidi jiwe aliyesema nireteeni gwajimaaaaa×3
Yaani askofu atawaliwe na sheikh?Wakili msomi Fatma Karume ametoa rai kwa waumini wa dini ya Kikristo kutokubali kugawanywa na Shehe wa Dar es salaam alhad Mussa Salumu ambaye anawapangia wepi ni maaskofu wa kweli kweli.
Karume anasema Wakristo msiukubali huo mtego wa Divide and Rule.
Mungu ni mwema wakati wote!
Kaongea ukweli bi Fatmah.Fatume nae asitupangie chakufaanya kwani yeye ni nani kwetu
Kanisa Katoliki Tanzania na duniani lina misingi imara sana. Usiwe na hofu.Nilishangaa jana catholic kumsimamisha mtu asiyestahili madhabahuni
Rwachi acha kutumia urafiki wako na huyo bwana kuharibu kanisa
Kadinali Pengo asingeruhusu huu ujinga
Tunamuomba balozi wa Vatican nchini amwandikie barua Papa kuhusu upotofu unaofanywa na rwachi
Gwajima mwanasiasa, siyo kiongozi wa kidini. So Magufuli was very right.
Ukweli kwako haina maana Ni ukweli kwangu.. kiufupi tusiingiliane katika kufanya maamuzKaongea ukweli bi Fatmah.
Sijakushurutisha na kukurupuka kwakoUkweli kwako haina maana Ni ukweli kwangu.. kiufupi tusiingiliane katika kufanya maamuz