Fatma Karume: Wakristo msikubali shehe wa Dar Alhad Salum awagawe kwa kuwachagulia maaskofu wa kweli kweli na wa uongo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Wakili msomi Fatma Karume ametoa rai kwa waumini wa dini ya Kikristo kutokubali kugawanywa na Shehe wa Dar es salaam alhad Mussa Salumu ambaye anawapangia wepi ni maaskofu wa kweli kweli.

Karume anasema Wakristo msiukubali huo mtego wa Divide and Rule.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Nilishangaa jana catholic kumsimamisha mtu asiyestahili madhabahuni

Rwachi acha kutumia urafiki wako na huyo bwana kuharibu kanisa
Kadinali Pengo asingeruhusu huu ujinga

Tunamuomba balozi wa Vatican nchini amwandikie barua Papa kuhusu upotofu unaofanywa na rwachi
 
Kwani kiongozi wako Gwajima naye anasemaje?
 
Wakili msomi Fatma Karume ametoa rai kwa waumini wa dini ya Kikristo kutokubali kugawanywa na Shehe wa Dar es salaam alhad Mussa Salumu ambaye anawapangia wepi ni maaskofu wa kweli kweli.

Karume anasema Wakristo msiukubali huo mtego wa Divide and Rule.

Mungu ni mwema wakati wote!
Tumesha mpuuza mana tunajua ni mchumia tumbo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nilishangaa jana catholic kumsimamisha mtu asiyestahili madhabahuni

Rwachi acha kutumia urafiki wako na huyo bwana kuharibu kanisa
Kadinali Pengo asingeruhusu huu ujinga

Tunamuomba balozi wa Vatican nchini amwandikie barua Papa kuhusu upotofu unaofanywa na rwachi
Mhn! Samahani hebu funguka zaidi nafikiri kuna kitu hapa sikijui
 
Wakili msomi Fatma Karume ametoa rai kwa waumini wa dini ya Kikristo kutokubali kugawanywa na Shehe wa Dar es salaam alhad Mussa Salumu ambaye anawapangia wepi ni maaskofu wa kweli kweli.

Karume anasema Wakristo msiukubali huo mtego wa Divide and Rule.

Mungu ni mwema wakati wote!
Nani msikilize huyu mcharuko wa kinzanzibar

USSR
 
Huyu Sheikh Alhad ni mchumia tumbo. Kwa kufru hii hapa chini huyu hastahili hata hilo daraja la Usheikh. Nikikumbuka ile dossier yake iliyomwagwa na Mange Kimambi namuona ni takataka tu
 
Pale Dini inaposhindwa kujitenga na siasa, mtashuhudia mengi. Kwa kuwa hali hii haiwezi kutatuliwa, mtashuhudia mengi.
 
futuma kule kwetu ni kama jiwe linalitumiwa na majambazi kubomoa nyumba za watu

huyo binti hawezi kutulia?
 
Mtego wa nini wakati Yesu kashasema siku za mwisho watatokea manabii, mitume, wachungaji, Askofu na vyeo vingine wakiwapotosha wateule.
Hakuna mtego hapo Bwana akipanda mbegu, Shetan naye anakuja kuotesha magugu kwa hiyo kuna Askofu wa kweli na Askofu wa Uongo.
 
Back
Top Bottom