Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

Labda kwa wazungusha mikono!!
1458931834057.jpg
 
Angekuwa hajala nyama ningemsikiliza ila amekula nakuvimbiwa juu akae kimya kabla hajatumbuliwa mwambie akamuulize Januar sasa hivi anaadabu anajuwa kumbe wakati mwingine watu wanakustahi tu kukuheshim basi usiwatukane, huyu dada akae kimya tena akatubu mdhambi yake jabla ajamulikwa
 
Muda si mrefu atajiteka akisingizia kuwa katekwa kama yule mwandishi wa habari!
Haka katoto hakajui Historia ya Familia yao kuwa sehemu ya Uongozi ngoja tumkumbushe.
1964 Babu yake Abeid Karume alitumia Watanganyika kupindua na Kutawala Zanzibar.
2000 Baba yake alikuwa wa Mwisho kwny kura zilizopigwa na CC ya CCM Znz alishindwa hata na Mwana Mama Fatma Said Ally lakini wanamtandao wakafanya jaribio lao la kujaribu nguvu yao kwny NEC kwa kumpitisha Karume Amani akiwa si chaguo la Wazanzibar nakumbuka Jakaya Kikwete alitumwa na kina Kingunge kumfungulia Mlango wa gari na kutembea nae kuomba kura na hatimae wakafanikiwa kupindua Maamuzi ya Wazanzibar na Advocate Fatma alikuwepo lakin akapiga kimya.
Zanzibar si dola la Kisultani Mmetoa Babu naBaba kuwa Rais inatosha msilazimishe na Ujombani nako watoe Rais kama vile Urais ni haki yenu peke yenu.
Kama utakumbuka tarehe 11 January, 2011 Mwandishi Jabir Idrissa wa Gazeti la Mwana Halisi aliandika kuhusu mgogoro wa ardhi kati ya Kanisa la Anglikana na familia ya Karume katika eneo la Mbweni Fuuni na kwa mujibu wa muandishi eneo hilo amemilikishwa huyo mdada. Labda ni woga wake kwamba serikali ya mjomba ingemlinda lakini hii yaweza kurejesha eneo la watu wa kanisa. Ni jambo la ajabu jinsi anavyomshambulia baba wa watu Mzee Shein kama vile kuna kitu anakiogopa.
 
MJUKUU wa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, amepinga hatua ya kumtangaza Dk. Alli Mohammed Shein, kuwa rais Visiwani, anaandika Pendo Omary.

Fatma Amani Abeid Karume, mtoto wa kwanza wa rais mstaafu, Amani Abeid Karume amesema, “Dk. Shein, siyo kiongozi halali wa Zanzibar. Amewekwa madarakani na jeshi na kinyume na Katiba na taratibu za nchi.”

Amesema, “Rais aliyewekwa madarakani na vyombo vya dola, siyo rais wa wananchi. Rais anayewekwa madarakani kwa nguvu za kijeshi na vitisho, hawezi kuwa rais wa wananchi. Anakuwa rais wa majeshi.”

Akiongea kwa sauti ya uchungu na MwanaHALISI Online, Jumatano wiki hii, ofisini kwake, jijini Dar es Salaam, Fatma amesema, “Chama Cha Mapinduzi, kisijidanganye. Zanzibar siyo shwari. Kinachotengenezwa sasa, siyo utawala. Ni muendelezo wa chuki, visasi na uhasama.”

Amesema, “CCM ya Tanganyika, ndiyo inayoiharibu Zanzibar. Wanalazimisha viongozi wasiokubalika na wananchi Visiwani kutawala kwa manufaa yao binafsi.”

Soma mahojiano kamili na mwanasheria huyo mashuhuri nchini, katika gazeti la MwanaHALISI Jumatatu wiki ijayo.

Mwanahabari Huru
sawa haya ni mawazo yake. ana uhuru wa kutoa mawazo yake. lakini haimaanishi kwamba majority wana mawazo kama yake.hata hivyo bado mtoto mdogo sana kuzungumzia haya mambo. kwanza amuulize baba yake je alikuwa akichaguliwa na wananchi na walikuwa wakimkubali? akipata majibu hayo ndio amgeukie Dr Shein
 
Angekuwa hajala nyama ningemsikiliza ila amekula nakuvimbiwa juu akae kimya kabla hajatumbuliwa mwambie akamuulize Januar sasa hivi anaadabu anajuwa kumbe wakati mwingine watu wanakustahi tu kukuheshim basi usiwatukane, huyu dada akae kimya tena akatubu mdhambi yake jabla ajamulikwa
Nakile kitengo chenu?
 
Kama utakumbuka tarehe 11 January, 2011 Mwandishi Jabir Idrissa wa Gazeti la Mwana Halisi aliandika kuhusu mgogoro wa ardhi kati ya Kanisa la Anglikana na familia ya Karume katika eneo la Mbweni Fuuni na kwa mujibu wa muandishi eneo hilo amemilikishwa huyo mdada. Labda ni woga wake kwamba serikali ya mjomba ingemlinda lakini hii yaweza kurejesha eneo la watu wa kanisa. Ni jambo la ajabu jinsi anavyomshambulia baba wa watu Mzee Shein kama vile kuna kitu anakiogopa.
Naona ndoto za Mombasa ni nzuri sana
 
Kama yuko huru basi atoe na habari za babake kwamba aliitawala Zanzibar kimabavu.akifanikiwa kulisema hilo basi tutamuamini kuwa ni mtetezi wa wanyonge na haki ya wazanzibari lasivyo tunamuona mnafiki tu.
Hivi yale mauaji ya Pemba yalifanyika kipindi cha utawala wa nani?
 
Kama yuko huru basi atoe na habari za babake kwamba aliitawala Zanzibar kimabavu.akifanikiwa kulisema hilo basi tutamuamini kuwa ni mtetezi wa wanyonge na haki ya wazanzibari lasivyo tunamuona mnafiki tu.
Kumbe mkiguswa sehemu mbaya mnashtuka
 
Naona unakivua chama chako nguo kwahiyo kuweka vimajina mfukoni kulianza sikunyingi sana

Hivi unajua Mgombea Urais na Mgombea Mwenza wa chama chako walikubaliana na Mwenyekiti kugombea Urais kabla ya kupewa kadi za uanachama? Hivi Mbowe alipoleta jina la Lowassa na Duni mnyooshe mikono kumpitisha sio kutoa jina mfukoni? Unadhani Lowassa msingemhakikishia kugombea Urais angetoka CCM?, Duni asingehakikishiwa ugombea Mwenza angetoka CUF?
 
Uchaguzi umeisha tufanye kazi tulijenge Taifa letu.
Kwanza hata asipo mtambua hapunguzi kitu!
I hate hii analogy ya "uchaguzi uneisha tufanye kazi tulijenge taifa" Ni kauli mbaya ambayo naona viongozi wanaitoa! Kwamba vuruga uchaguzi, iba, kandamiza, cheza mbinu chafu ili ushinde then unawaambi wale uliowaibia na kuwachezea mchezo mchafu kuwa ee by the way uchaguzi umeisha tuache uhasama tushirikiane tujenge nchi!! Huo ni upumbavu na kufanya watu wengine wajinga! Tufikie mahali kila jambo linalofanywa liwe na consequences, Jecha na Shein wamevuruga uchaguzi na wanatembea kifua mbele, na kuwambia wananchi waliochagua viongozi wanaowataka kuwa by the way msikonde, mliyemtaka awe hajawa na uchaguzi umeisha,, my feet!!?
 
Back
Top Bottom