Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

Fatma yupo thabiti.Hakika Zanzibar inahitaji kiongozi mkweli kama Fatma...
 
Ana lana yababa YAKE yy amesahau baba YAKE alivyoua watu mwaka 2000 nahata wanzanzibar hawakuwah kumtaka ilaalitawala nahakusema hamtambui.sheni amefnya mpka serikali yaumoja wakitaifa imeptkana ilimrad kuleta AMAN na usawa sasa kat ya baba yke aliesababsha watuwafe nawengne wakmbie mji nahuyu alieshnda uchaguz kwa asilimia tisini nani hakustahili kuitwa rais
 
Ohh kumbe nikile chama cha majanga chenye mitambo yakutengeneza mafisadi na wanadamu wenye makengeza ya nyoka

Yaa wakimaliza Uzalishaji zile reject kuna Makengeza huja kuzinunua na kuja kuwaamuru mnyooshe mikono kuashiria mmekubali dirisha dogo la usajili wa Wezi.
 
Eti ccm ya Tanganyika. Wakati maalim Seif anatafuta muafaka na wale wazee wa Zanzibar, alikuwepo kiongozi wa ccm bara? Si walishindwana wazanzibari. Hata JPM hatii neno Zenj. Kimenichefua sana hiki kibinti. Suluhisho la matatizo ya Zenj ni ALI KARUME basi. Shein maliza muda wako umkabidhi mwanamapinduzi huyu.
 
Asante Mkuu ukweli lazima uelezwe. Baba yake Karume hakua chaguo la wazanzibari. In my opinion she should focus on her life and career. Kwani huu urais aligombea yeye? Mweee....
Haka katoto hakajui Historia ya Familia yao kuwa sehemu ya Uongozi ngoja tumkumbushe.
1964 Babu yake Abeid Karume alitumia Watanganyika kupindua na Kutawala Zanzibar.
2000 Baba yake alikuwa wa Mwisho kwny kura zilizopigwa na CC ya CCM Znz alishindwa hata na Mwana Mama Fatma Said Ally lakini wanamtandao wakafanya jaribio lao la kujaribu nguvu yao kwny NEC kwa kumpitisha Karume Amani akiwa si chaguo la Wazanzibar nakumbuka Jakaya Kikwete alitumwa na kina Kingunge kumfungulia Mlango wa gari na kutembea nae kuomba kura na hatimae wakafanikiwa kupindua Maamuzi ya Wazanzibar na Advocate Fatma alikuwepo lakin akapiga kimya.
Zanzibar si dola la Kisultani Mmetoa Babu naBaba kuwa Rais inatosha msilazimishe na Ujombani nako watoe Rais kama vile Urais ni haki yenu peke yenu.
 
Ana lana yababa YAKE yy amesahau baba YAKE alivyoua watu mwaka 2000 nahata wanzanzibar hawakuwah kumtaka ilaalitawala nahakusema hamtambui.sheni amefnya mpka serikali yaumoja wakitaifa imeptkana ilimrad kuleta AMAN na usawa sasa kat ya baba yke aliesababsha watuwafe nawengne wakmbie mji nahuyu alieshnda uchaguz kwa asilimia tisini nani hakustahili kuitwa rais
Mjibuni hoja yake mbona mnaweweseka? Iliyouwa watu ni serekali ya chama gani?
 
Asante Mkuu ukweli lazima uelezwe. Baba yake Karume hakua chaguo la wazanzibari. In my opinion she should focus on her life and career. Kwani huu urais aligombea yeye? Mweee....
Ukweli utawaweka huru jibuni hoja
 
Kwani yeye ni nani mpaka apinge maamuzi ya Jecha salum Jecha!?

Kwanza siyo lazima amtambue Dr shein,kumbuka hata UKAWA hawamtambui Magufuli lakini wanamuomba asaidie suala la Zanzibar!
[emoji14] [emoji13] [emoji12]
 
Anapata wapi nguvu zakusema? Lazima kuna kitu nyuma ya pazia. Familia yao inakula na kunywa kwa pesa ya serikali sasa mtu kama huyu kuna haja kumchunguza anapat wapi hizo nguvu? Na nikwamasilah yanan anasema hayo?
Uhuru wakutoa mawazo uheshimiwe. Ni kweli kuna kitu nyuma ya pazia nacho ni kuitetea demokrasia ya kweli bila ya woga. Ms Fatma ana weledi katika mambo ya sheria na ni mzalendo wa kweli. Kumchunguza nini? yeye ni mzanazibari na anazungumzia mambo ya Zanzibar. Hawezi kukaa kimya akiona demokrasia inarembewa nje ya dirisha kwa kuhofia kuchunguzwa na CCM Tanganyika. Tutawaleni kwa mabavu na mtutu wa bunduki na vifaru mitaani lakini msitufunge midomo. Tupeni uhuru wa kuamini angalau kuwa 2+2=4
 
Back
Top Bottom