Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

Hivi unajua Mgombea Urais na Mgombea Mwenza wa chama chako walikubaliana na Mwenyekiti kugombea Urais kabla ya kupewa kadi za uanachama? Hivi Mbowe alipoleta jina la Lowassa na Duni mnyooshe mikono kumpitisha sio kutoa jina mfukoni? Unadhani Lowassa msingemhakikishia kugombea Urais angetoka CCM?, Duni asingehakikishiwa ugombea Mwenza angetoka CUF?
Ndio ndoto mnayootaga hapo Lumumba?
 
Anapata wapi nguvu zakusema? Lazima kuna kitu nyuma ya pazia. Familia yao inakula na kunywa kwa pesa ya serikali sasa mtu kama huyu kuna haja kumchunguza anapat wapi hizo nguvu? Na nikwamasilah yanan anasema hayo?
Kwa masilahi ya wazanzibari....
 
Katika Historia ya Zanzibar Babu na Baba yake Fatma ndio ma Rais pekee waliouwa wananchi kwa Risasi za moto.
Naam, naona watu wanasahau haraka. Ila hila zao zitafichuka muda sio mrefu
 
Hivi tuachane na huyo bi shosti...maalim seif yu wapi mbona yu kimya?
 
Chama cha zamani cha Mgombea wenu wa Urais kilichomsomesha na kumfundisha Siasa na kumkata kwny siasa kwa tabia yake ya Wizi!
Ohh kumbe nikile chama cha majanga chenye mitambo yakutengeneza mafisadi na wanadamu wenye makengeza ya nyoka
 
Back
Top Bottom