Yaani chadema na cuf kama watoto ukiwapa pipi wanafurahia.......hivi huwa mnafikiri mkiwa mmelewa au ?...watoto wa Karume,Kenyatta,Nyerere nk...hawawezi kuwa tofauti na vyama vya wazazi wao mtakuwa mmechezewa...dadu au chekundu,cheusi....ndio maana kuna edward huniambia chadema ni kama demu unamuumiza usiku,asubuhi unambembeleza.MJUKUU wa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, amepinga hatua ya kumtangaza Dk. Alli Mohammed Shein, kuwa rais Visiwani, anaandika Pendo Omary.
Fatma Amani Abeid Karume, mtoto wa kwanza wa rais mstaafu, Amani Abeid Karume amesema, “Dk. Shein, siyo kiongozi halali wa Zanzibar. Amewekwa madarakani na jeshi na kinyume na Katiba na taratibu za nchi.”
Amesema, “Rais aliyewekwa madarakani na vyombo vya dola, siyo rais wa wananchi. Rais anayewekwa madarakani kwa nguvu za kijeshi na vitisho, hawezi kuwa rais wa wananchi. Anakuwa rais wa majeshi.”
Akiongea kwa sauti ya uchungu na MwanaHALISI Online, Jumatano wiki hii, ofisini kwake, jijini Dar es Salaam, Fatma amesema, “Chama Cha Mapinduzi, kisijidanganye. Zanzibar siyo shwari. Kinachotengenezwa sasa, siyo utawala. Ni muendelezo wa chuki, visasi na uhasama.”
Amesema, “CCM ya Tanganyika, ndiyo inayoiharibu Zanzibar. Wanalazimisha viongozi wasiokubalika na wananchi Visiwani kutawala kwa manufaa yao binafsi.”
Soma mahojiano kamili na mwanasheria huyo mashuhuri nchini, katika gazeti la MwanaHALISI Jumatatu wiki ijayo.
Mwanahabari Huru
Kwanini hakupanuwa domo lake wakati babake anatawala Zanzibar?Tukumbuke huyu ni mtu mzima, na anayejitegemea. Kama kuna mtu anakula kwa mgongo wa serikali basi ni baba yake na mama yake, ila si yeye!! Huyu ni wakiri, tena wa kujitegemea. Kudhani kuwa bado analishwa na baba yake ni kumtusi.
Kuna watu watasema alisoma kwa kutumia pesa za serikali😱. Ndio, ila haya sasa ndio matunda ya elimu ambayo aliipata, kuusimamia ukweli pasipo kuogopa wala kuegemea upande wowote. Hakika mzee wake hakupoteza pesa zake (kama alimlipia private)
Hata hivyo tukumbuke hata Zitto Kabwe, Mnyika, Lema, Mdee na baadhi ya wanasiasa na watu wengi ambao wako kinyume na serikali nao pia walisoma kwa kutumia pesa za serikali, ni wajibu wa serikali kusomesha watu wake. Kusomeshwa na serikali hakumaanishi kuwa mwanasesere wa serikali na kusema ndio kwa serikali katika kila jambo.
Ana Hasira Ya Kuitwa Chotara
Hujui maana ya kujenga Taifa ndo maana unaongea usichokijua ila umekaririshwa maneno, Viumbe vyote hutegemea na ndo maendeleo ya viumbe hivyo iwe jiwe au maji, wadudu au wanyama. Kazi gani unayo zungumzia wewe? Tz tumeshakosa zaidi 470 mln us dollars. Mamilioni ya fedha yametumika na uchaguzi hewa tutatumia muda mrefu kuzirudisha hizo na c ndo Yangekuwa maendeleo unayozungumzia weweeeeUchaguzi umeisha tufanye kazi tulijenge Taifa letu.
Kwanza hata asipo mtambua hapunguzi kitu!
Wewe unafikiri kila mtanzania akili zake ameshikiwa ? Anapata ujasiri kwa sababu anajitambua na anajua yaliyofanyika? Keeping someone silent is not a best way to solve problemsAnapata wapi nguvu zakusema? Lazima kuna kitu nyuma ya pazia. Familia yao inakula na kunywa kwa pesa ya serikali sasa mtu kama huyu kuna haja kumchunguza anapat wapi hizo nguvu? Na nikwamasilah yanan anasema hayo?
Kwanini hakupanuwa domo lake wakati babake anatawala Zanzibar?
Sio bure kuna kitu hapa haiwezekani mbona ameikomalia saana hii issueDuh...huyu binti anakwenda kumrithi seif sharifu hamad
Ndugu, Hiyo Inaitwa 'pamoja Na Mambo Mengine'. Zanzibar Wanajuana WenyeweSerious???!😳
Hii ndio kweli unadhani motisha iliyomfanya ayaseme aliyoyasema?! Kweli huku ni kufirisika kifikra.
Duh...huyu binti anakwenda kumrithi seif sharifu hamad
Maovu kama yalifanyika yanasemwa tu.mbona mpaka leo watu kama Hitler au Amin wanalaaniwa? Aseme sasa kwamba hata baba yake aliikalia Zanzibar kimabavu tutamwelewa otherwise ni double standardSina uhakika kwann unajiaminisha kwanini hakuongea wakati ule! Ni ukweli kuwa hatuna uhakika kama alisema au lah!!
Nitakujibu kwa kujaribu kukufikirisha, muda unaouzungumzia ni zaidi ya miaka kumi nyuma, jiulize huyu alikuwa wapi katk kipnd hicho (probably shule na katika dominion ya wazazi wake) kwa maneno mengine alikuwa hajaanza kujitegemea, hii ni hypothesis tu! Sasa ukiwa katika dominion ya wazazi wako mangapi unaweza ukayaona hayako sawa ila ukashindwa kuyasemea?! Hapo jijibu.
Vile vile pengine enlightment yake ya mambo ya sheria imemature kipindi hiki tayari ni mtu mzima, na field ya sheria ndio inavyoenda, the older you get ndivyo experience na career inazidi kuwa katika peak.
Sasa ni utoto kutaka kuaminisha watu kuwa huyu hana haki ya kukemea uovu simply kwasababu 15 years back hakufanya hivyo.
Forgodsake😡😡😡😡😡 alikuwa bado.
Baba yake kapiga kura ....ndio dola anayoongelea hiyo
Haka katoto hakajui Historia ya Familia yao kuwa sehemu ya Uongozi ngoja tumkumbushe.
1964 Babu yake Abeid Karume alitumia Watanganyika kupindua na Kutawala Zanzibar.
2000 Baba yake alikuwa wa Mwisho kwny kura zilizopigwa na CC ya CCM Znz alishindwa hata na Mwana Mama Fatma Said Ally lakini wanamtandao wakafanya jaribio lao la kujaribu nguvu yao kwny NEC kwa kumpitisha Karume Amani akiwa si chaguo la Wazanzibar nakumbuka Jakaya Kikwete alitumwa na kina Kingunge kumfungulia Mlango wa gari na kutembea nae kuomba kura na hatimae wakafanikiwa kupindua Maamuzi ya Wazanzibar na Advocate Fatma alikuwepo lakin akapiga kimya.
Zanzibar si dola la Kisultani Mmetoa Babu naBaba kuwa Rais inatosha msilazimishe na Ujombani nako watoe Rais kama vile Urais ni haki yenu peke yenu.
Inaweza kuwa ilienda kwa Shein vile vile!kumbuka seif kapata kura 6000 so hiyo kura ya karume inaweza kuwa ilienda CUF
Hivi kama Ally Karume angegombea na kushinda kimagumashi kangechonga kama hivi. Kaache unafiki wakitawala baba zake wala hakachongi, kanapiga kimya kwa kuwa kananufaika!Haka katoto hakajui Historia ya Familia yao kuwa sehemu ya Uongozi ngoja tumkumbushe.
1964 Babu yake Abeid Karume alitumia Watanganyika kupindua na Kutawala Zanzibar.
2000 Baba yake alikuwa wa Mwisho kwny kura zilizopigwa na CC ya CCM Znz alishindwa hata na Mwana Mama Fatma Said Ally lakini wanamtandao wakafanya jaribio lao la kujaribu nguvu yao kwny NEC kwa kumpitisha Karume Amani akiwa si chaguo la Wazanzibar nakumbuka Jakaya Kikwete alitumwa na kina Kingunge kumfungulia Mlango wa gari na kutembea nae kuomba kura na hatimae wakafanikiwa kupindua Maamuzi ya Wazanzibar na Advocate Fatma alikuwepo lakin akapiga kimya.
Zanzibar si dola la Kisultani Mmetoa Babu naBaba kuwa Rais inatosha msilazimishe na Ujombani nako watoe Rais kama vile Urais ni haki yenu peke yenu.
Haka katoto hakajui Historia ya Familia yao kuwa sehemu ya Uongozi ngoja tumkumbushe.
1964 Babu yake Abeid Karume alitumia Watanganyika kupindua na Kutawala Zanzibar.
2000 Baba yake alikuwa wa Mwisho kwny kura zilizopigwa na CC ya CCM Znz alishindwa hata na Mwana Mama Fatma Said Ally lakini wanamtandao wakafanya jaribio lao la kujaribu nguvu yao kwny NEC kwa kumpitisha Karume Amani akiwa si chaguo la Wazanzibar nakumbuka Jakaya Kikwete alitumwa na kina Kingunge kumfungulia Mlango wa gari na kutembea nae kuomba kura na hatimae wakafanikiwa kupindua Maamuzi ya Wazanzibar na Advocate Fatma alikuwepo lakin akapiga kimya.
Zanzibar si dola la Kisultani Mmetoa Babu naBaba kuwa Rais inatosha msilazimishe na Ujombani nako watoe Rais kama vile Urais ni haki yenu peke yenu.
Muda si mrefu atajiteka akisingizia kuwa katekwa kama yule mwandishi wa habari!MJUKUU wa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, amepinga hatua ya kumtangaza Dk. Alli Mohammed Shein, kuwa rais Visiwani, anaandika Pendo Omary.
Fatma Amani Abeid Karume, mtoto wa kwanza wa rais mstaafu, Amani Abeid Karume amesema, “Dk. Shein, siyo kiongozi halali wa Zanzibar. Amewekwa madarakani na jeshi na kinyume na Katiba na taratibu za nchi.”
Amesema, “Rais aliyewekwa madarakani na vyombo vya dola, siyo rais wa wananchi. Rais anayewekwa madarakani kwa nguvu za kijeshi na vitisho, hawezi kuwa rais wa wananchi. Anakuwa rais wa majeshi.”
Akiongea kwa sauti ya uchungu na MwanaHALISI Online, Jumatano wiki hii, ofisini kwake, jijini Dar es Salaam, Fatma amesema, “Chama Cha Mapinduzi, kisijidanganye. Zanzibar siyo shwari. Kinachotengenezwa sasa, siyo utawala. Ni muendelezo wa chuki, visasi na uhasama.”
Amesema, “CCM ya Tanganyika, ndiyo inayoiharibu Zanzibar. Wanalazimisha viongozi wasiokubalika na wananchi Visiwani kutawala kwa manufaa yao binafsi.”
Soma mahojiano kamili na mwanasheria huyo mashuhuri nchini, katika gazeti la MwanaHALISI Jumatatu wiki ijayo.
Mwanahabari Huru
Watanzania mtuombee tutumbe majipuKwani yeye ni nani mpaka apinge maamuzi ya Jecha salum Jecha!?
Kwanza siyo lazima amtambue Dr shein,kumbuka hata UKAWA hawamtambui Magufuli lakini wanamuomba asaidie suala la Zanzibar!