Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

Yaani chadema na cuf kama watoto ukiwapa pipi wanafurahia.......hivi huwa mnafikiri mkiwa mmelewa au ?...watoto wa Karume,Kenyatta,Nyerere nk...hawawezi kuwa tofauti na vyama vya wazazi wao mtakuwa mmechezewa...dadu au chekundu,cheusi....ndio maana kuna edward huniambia chadema ni kama demu unamuumiza usiku,asubuhi unambembeleza.
Usiweweseke kuliko kuendelea kujivua mguo haparudi Mombasa tu
 
MJUKUU wa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, amepinga hatua ya kumtangaza Dk. Alli Mohammed Shein, kuwa rais Visiwani, anaandika Pendo Omary.

Fatma Amani Abeid Karume, mtoto wa kwanza wa rais mstaafu, Amani Abeid Karume amesema, “Dk. Shein, siyo kiongozi halali wa Zanzibar. Amewekwa madarakani na jeshi na kinyume na Katiba na taratibu za nchi.”

Amesema, “Rais aliyewekwa madarakani na vyombo vya dola, siyo rais wa wananchi. Rais anayewekwa madarakani kwa nguvu za kijeshi na vitisho, hawezi kuwa rais wa wananchi. Anakuwa rais wa majeshi.”

Akiongea kwa sauti ya uchungu na MwanaHALISI Online, Jumatano wiki hii, ofisini kwake, jijini Dar es Salaam, Fatma amesema, “Chama Cha Mapinduzi, kisijidanganye. Zanzibar siyo shwari. Kinachotengenezwa sasa, siyo utawala. Ni muendelezo wa chuki, visasi na uhasama.”

Amesema, “CCM ya Tanganyika, ndiyo inayoiharibu Zanzibar. Wanalazimisha viongozi wasiokubalika na wananchi Visiwani kutawala kwa manufaa yao binafsi.”

Soma mahojiano kamili na mwanasheria huyo mashuhuri nchini, katika gazeti la MwanaHALISI Jumatatu wiki ijayo.

Mwanahabari Huru
uyo nae anatafuta kick za kijinga tu akae kmy maigizo yamrisha saiv tunataka maendeleo kwan shein amepindua au amepigiwa kura na wananchi
 
Mbona hakupinga Baba yake kuwa Rais,kura za maoni zanzibar Karume alikua wa 5 ikabidi NEC dodoma impitishe kwa kulazimisha kura zipigwe tena na kuachana matokeo ya Zanzibar
 
Haka katoto hakajui Historia ya Familia yao kuwa sehemu ya Uongozi ngoja tumkumbushe.
1964 Babu yake Abeid Karume alitumia Watanganyika kupindua na Kutawala Zanzibar.
2000 Baba yake alikuwa wa Mwisho kwny kura zilizopigwa na CC ya CCM Znz alishindwa hata na Mwana Mama Fatma Said Ally lakini wanamtandao wakafanya jaribio lao la kujaribu nguvu yao kwny NEC kwa kumpitisha Karume Amani akiwa si chaguo la Wazanzibar nakumbuka Jakaya Kikwete alitumwa na kina Kingunge kumfungulia Mlango wa gari na kutembea nae kuomba kura na hatimae wakafanikiwa kupindua Maamuzi ya Wazanzibar na Advocate Fatma alikuwepo lakin akapiga kimya.
Zanzibar si dola la Kisultani Mmetoa Babu naBaba kuwa Rais inatosha msilazimishe na Ujombani nako watoe Rais kama vile Urais ni haki yenu peke yenu.
Naona unakivua chama chako nguo kwahiyo kuweka vimajina mfukoni kulianza sikunyingi sana
 
Wewe unafikiri kila mtanzania akili zake ameshikiwa ? Anapata ujasiri kwa sababu anajitambua na anajua yaliyofanyika? Keeping someone silent is not a best way to solve problems
Acha ujinga wewe huyu hapaswi hata kuzungumza ukila nyama ukumbuke kujifuta mdomo lasivyo watu watu hawakuelewi
 
Alafu mbaya kuliko yote anasema maneno hayo akiwa Znz, wakati mtu kasha apishwa kisheria. Kwakwel huu ni uhaini ambao unapaswa kukemewa. Mböa hakusema hayo wakat wa kaka yake?
Tumesha wazoea mtu akikosoa mlichokifanya kwa manufaa yenu mnamuita muhuni,hafai,mzigo nk
 
Anapata wapi nguvu zakusema? Lazima kuna kitu nyuma ya pazia. Familia yao inakula na kunywa kwa pesa ya serikali sasa mtu kama huyu kuna haja kumchunguza anapat wapi hizo nguvu? Na nikwamasilah yanan anasema hayo?
Akili za kiafrika hizi
 
Back
Top Bottom