Fastjet ya Mwanza-Dar ime-abort take off!

Fastjet ya Mwanza-Dar ime-abort take off!

Uwanja wa ndege Mwanza kuna tatizo la (ndege hai) wengi maana hata ile ndege ya jeshi ilipata ajari kisa ndege hai kaingia kwenye injini ya ndege

Asa kwann hao ndege wasidhibitiwe ikiwezekana hata kuwa restisha in peace ili kudhibiti roho za watu
 
Unatokea Mwanza,yaani tayari upo Dar? Au bado upo Mwanza ndege bado inafanyiwa recheck?.Rekebisha maelezo yako Mleta mada.
 
Wakuu,

Naandika hapa huku mapigo ya moyo yapo juu sana. Natokea Mwanza muda huu na flight ya saa8:25 fastjet kurudi Dar. Tumefika kwenye run-way na mbio zikaanza za kutafuta speed ya kupaa, wallahiiii ndege si wakakatiza ghafla juu na si tayari Kasuku (fastjet) yupp kibati... Aiseee zimefungwa break mpaka tumehama ndani pamoja na mikanda kufungwa.

Nashukuru tuko salama na imebidi turudi tutoke nje ya ndege. Tumerudi terminal ndege inakaguliwa

Ungemalizia tu kwa kusema leo umepanda ndege
 
Da! hakuna usafiri na uogopa kama ndege, ktk maisha yangu ndege nimepanda mara 2 tena kwa matatizotu sivinginevyo, pole sana

Mkuu ajali za ndege zinatokea mara ngapi Tanzania ukilinganisha na ajali za magari? ndege ni usafiri ulio salama!
 
Acheni woga Usafiri wa ndege ndio usafiri Salama kabisa, compared na njia nyingine yeyote ya usafiri(Tafiti)
 
Wakuu,

Naandika hapa huku mapigo ya moyo yapo juu sana. Natokea Mwanza muda huu na flight ya saa8:25 fastjet kurudi Dar. Tumefika kwenye run-way na mbio zikaanza za kutafuta speed ya kupaa, wallahiiii ndege si wakakatiza ghafla juu na si tayari Kasuku (fastjet) yupp kibati... Aiseee zimefungwa break mpaka tumehama ndani pamoja na mikanda kufungwa.

Nashukuru tuko salama na imebidi turudi tutoke nje ya ndege. Tumerudi terminal ndege inakaguliwa
Mkague na rubani!
Siyo Mjerumani kweli?
 
Mkuu nyegezi hupajui hadi upande hilo li ndege kwenda hapo dar?
Haya hao wanyama mliowagonga wana hali gani?
 
Kakamate happynation ndugu,me tangu twende kugeukia bukoba baada ya mvua na mataa kuzima simpandi tena kasuku huyo
 
Wanaikagua kwa kuwa Engine za ndege zilikuwa tayari zimepewa full power (realease full power kwa ajili ya take off), hivyo tulivyosimama ghafla sana Engine zikawa shuttered, yaani zikaloose power from say labda 100% to 0% in seconds, kitu ambacho sio kizuri. Pilot amerudisha ndege kwa ukaguzi kama kuna any damage imepatikana kutokana na kuabort landing ghafla akiwa speed tayari. Nashukuru Mungu tumepona na kusalimika. Yaani sijui sasa hivi ingekuwaje

Hapo kwenye red, uwe makini na uandishi wako. Natumaini ulikuwa wataka kuandika take-off. Katika wakati ambapo rubani anatakiwa kuchukua maamuzi magumu ni kuahirisha kupaa huku tairi ya mbele imeshanyanyuka, kuahirisha kutua huku umeshakaribia gusa chini na kufanya crash landing.
 
Pole sana Mkuu. Kwa Mungu na tuseme utukufu ni wake kwa kutenda na kuwapa uzima. Na iwe hivyo.
 
Poleni sana na Mumshukuru Mwenyeezi Mungu kwa kutoa sadaka.
 
Wakuu,Naandika hapa huku mapigo ya moyo yapo juu sana. Natokea Mwanza muda huu na flight ya saa8:25 fastjet kurudi Dar. Tumefika kwenye run-way na mbio zikaanza za kutafuta speed ya kupaa, wallahiiii ndege si wakakatiza ghafla juu na si tayari Kasuku (fastjet) yupp kibati... Aiseee zimefungwa break mpaka tumehama ndani pamoja na mikanda kufungwa. Nashukuru tuko salama na imebidi turudi tutoke nje ya ndege. Tumerudi terminal ndege inakaguliwa
Duu! Pole ata ivo mngetangazwa dunia nzima kwamba kisanduku kinatafutwa kujua chanzo cha ajaili, au hutaki?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom