Fastjet flight delay at Mwanza

Fastjet flight delay at Mwanza

itongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
201
Reaction score
150
Ndege ya fastjet iliyotarajiwa kuondoka saa 4.30pm imeahirishwa inasemekana imeondoka Mwanza at 2pm na ndo inasubiriwa ije ndo iondoke sijui saa ngapi.

Abiria tunapiga miayo tu hapa airport. Bora ndege zetu zianze kazi tufunguliwe na mnyororo wa mateso wa fastjet.
 
Kuna tetesi kuwa FN watapunguza route za kwenda Mwanza badala ya 4 zzitabaki3
 
Ndege ya fastjet iliyotarajiwa kuondoka saa 4.30pm imeahirishwa inasemekana imeondoka Mwanza at 2pm na ndo inasubiriwa ije ndo iondoke sijui saa ngapi.

Abiria tunapiga miayo tu hapa airport. Bora ndege zetu zianze kazi tufunguliwe na mnyororo wa mateso wa fastjet.

Wakati hayo yanajiri huko na huku nako yanajiri haya
 
Ndege ya fastjet iliyotarajiwa kuondoka saa 4.30pm imeahirishwa inasemekana imeondoka Mwanza at 2pm na ndo inasubiriwa ije ndo iondoke sijui saa ngapi.

Abiria tunapiga miayo tu hapa airport. Bora ndege zetu zianze kazi tufunguliwe na mnyororo wa mateso wa fastjet.
Acha kubeza, FJ imekuwa msaada mkubwa sana kwa wasafiri hapa nchini, bila shaka hata wewe ndio ndege yako ya kwanza kupanda..
 
Yaani baada ya kusoma hii thread napata msg flight niliyokuwa niondoke nayo wamei cancel 😡😡
 
kucancel rout kuna sababu yawezekana ndege ni mbovu. ulitaka utangaziwe na rubani ukiwa juu angani kuwa ndege ina hitilafu?
 
Wameondoa ndege mojazimebaki mbili..
Hapo delays/cancellations lazima!,hawawezi fanya route zao zote kwa fleet mbili..
 
Fastjet usiwategemee kabisa kama una jambo lako nyeti, unaweza ukapagawa na kuwa kichaa jinsi ratiba zao zisivyozingatiwa. Sitak kukumbuka kabisa.
 
Wengi hawajui hilo. Mie huwa nashukuru shida ya ndege ikitokea nikiwa ardhini. Sitakaa nilaumu kamwe

Mkuu siku za karibuni cancellation zimekuwa nyingi mno ingawa bado abiria hawajagundua.FN hawataki kutangaza official lakini tayari wameshafuta baadhi ya route ndio maana cancellation hasa route ya Mwanza zimeongezeka
 
Nakumbuka kuna mzee mmoja alikuwa ameimport mzigo toka dar kuja mwanza na akategemea mzigo ataurejesha kwa mme wake kwa ndege ya jioni, sasa jamaa si wakahairisha safari! Na nyumbani alikuwa ameaga kuwa yupo kwenye sherehe ya rafiki yake, demu alikuwa analia kama kafiwa hapo airport! Jamaa c waliaharisha safari, yalikuwa majanga
 
Hii kampuni nayo itakuwa kufani.... Ngoja vibajaji vya JPM vianze kazi..... Itakuwa ndo mwisho!!!
 
Ndege ya fastjet iliyotarajiwa kuondoka saa 4.30pm imeahirishwa inasemekana imeondoka Mwanza at 2pm na ndo inasubiriwa ije ndo iondoke sijui saa ngapi.

Abiria tunapiga miayo tu hapa airport. Bora ndege zetu zianze kazi tufunguliwe na mnyororo wa mateso wa fastjet.
Kumbe umesafiri kwa ndege... Basi Sawa
 
Back
Top Bottom