Unadhani 'Mapanga Shaa' atakuwa na bei fare kama za Fastjet?Ndege ya fastjet iliyotarajiwa kuondoka saa 4.30pm imeahirishwa inasemekana imeondoka Mwanza at 2pm na ndo inasubiriwa ije ndo iondoke sijui saa ngapi.
Abiria tunapiga miayo tu hapa airport. Bora ndege zetu zianze kazi tufunguliwe na mnyororo wa mateso wa fastjet.
Walikuwa na route nne kwa siku saa 12 alfajiri,saa 4 asubuhi mchana na usiku
Ni kweli kabisa ila sasa kuahirisha/kufuta safari kumeongezeka!!!Acha kubeza, FJ imekuwa msaada mkubwa sana kwa wasafiri hapa nchini, bila shaka hata wewe ndio ndege yako ya kwanza kupanda..
Nani apande ndege ya kwenda mwanza kwa masaa matatu wakati fastjet ni saa moja tu?Hii kampuni nayo itakuwa kufani.... Ngoja vibajaji vya JPM vianze kazi..... Itakuwa ndo mwisho!!!
Anyejua nauli kias ghan plzzz nimwagie hap
Ndege ya fastjet iliyotarajiwa kuondoka saa 4.30pm imeahirishwa inasemekana imeondoka Mwanza at 2pm na ndo inasubiriwa ije ndo iondoke sijui saa ngapi.
Abiria tunapiga miayo tu hapa airport. Bora ndege zetu zianze kazi tufunguliwe na mnyororo wa mateso wa fastjet.
Ushawahi panda Presicion Air?..Nani apande ndege ya kwenda mwanza kwa masaa matatu wakati fastjet ni saa moja tu?
Nakumbuka kuna mzee mmoja alikuwa ameimport mzigo toka dar kuja mwanza na akategemea mzigo ataurejesha kwa mme wake kwa ndege ya jioni, sasa jamaa si wakahairisha safari! Na nyumbani alikuwa ameaga kuwa yupo kwenye sherehe ya rafiki yake, demu alikuwa analia kama kafiwa hapo airport! Jamaa c waliaharisha safari, yalikuwa majanga
Ilitarajiwa kuondoka saa4:30pm imeahirishwa na inasemekana imeondoka at 2pm????
Ndege ya fastjet iliyotarajiwa kuondoka saa 4.30pm imeahirishwa inasemekana imeondoka Mwanza at 2pm na ndo inasubiriwa ije ndo iondoke sijui saa ngapi.
Abiria tunapiga miayo tu hapa airport. Bora ndege zetu zianze kazi tufunguliwe na mnyororo wa mateso wa fastjet.
Mara nyingi tu. Dar - Arusha na Arusha -Dar via ZenjiUshawahi panda Presicion Air?..
Dah, hebu ingia kwenye web yao Mkuu, bei inabadilika kutokana na muda wa book, so angalia mwenyewe...Nataka kujua nauli ya ndege mza-dar please