Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,418
- 133,790
Mkuu Mayenga, kwenye misiba, majanga na matukio ya kitaifa, tunaweka pembeni tofauti zetu na kutanguliza utaifa mbele, hivyo sio busara kuanza kuitana majina, calling names, magwanda, magamba etc!.Ahsante Magamba.
RIP Regia Mtema!.