Berrita nashukuru for your input ila tatizo ni hapo nilipo bold. It's not as easy as you think. Kwa mfano Right now if you ask me unataka mtoto at this moment or next year the answer is a definate NO! However I can't say that for sure down the road, eg in 5 years.
..but angali, ujana maji ya moto little while yanapoa! kwa nini usiolewe? wanayosema ndugu zako ni sahihi baada ya muda utapoteza uwezo wa kuzaa! ukifikia hapo ndo utatafuta mtoto wa ku-adopt au ni aje? au una tatizo linalokusonga? liseme...
Bossman, that's not a guarantee, my friend.
Kuna wazazi wako hivyo hadi unashangaa kwa nini walizaa. They just don't give a damn. Wao ni kujirusha tu. Mtoto hajaliwi hata kidogo.
However selfish and uncompromising you are
ukizaa utabadilika...
Hayatuhusu. This is your private business. We dont want gossip in this forum.
Zion Daughter
Ohh my goodness,,,,,,,,,,,,,,,,this is exactly what my sister argued for!!! Ahsante kwa ushauri
Sasa huyo mtoto atamtoa kwa mtu gani kama hayuko tayari kugawa hata share yake moja ili awe na mtu wa kumsaidia kupata mtoto....
I think being selfish and uncompromising...if she really means it, are the highest levels when it comes to sharing your life with others!!
Babu DC!!
So ni bora wasizae ?
Mtoto ni kitu kingine bwana, nakushauri kama huwezi kucompromise hata kidogo na kuolewa basi zaa.
They bring new n wonderful meaning in our lives. You are never lonely when you have a kiddo. Do it to youself, sio kwa pressure.
Kuna bibi yetu mmoja hakujaliwa kuzaa ktk uzee wake alitunzwa na cousin wangu mmoja (mtoto wa dada yake huyo bibi); siku zote hadi anafariki alikuwa ni mtu wa kujihisi tu na kusononeka.
Msikilize mama yako tafadhali, amepitia ujana na anajua yote anayopaswa kujua.
Sasa huyo mtoto atamtoa kwa mtu gani kama hayuko tayari kugawa hata share yake moja ili awe na mtu wa kumsaidia kupata mtoto....
I think being selfish and uncompromising...if she really means it, are the highest levels when it comes to sharing your life with others!!
Babu DC!!
Mdogo wangu Zion Daughter,
Nakubaliana na wewe...ila kwa maelezo ya huyu dada (ambayo naamini ndiyo ukweli toka ndani mwake), ana qualities ambazo kama hayuko tayari kubadilika basi itakuwa ngumu kwake kuingia kwenye ndoa au kuwa na mtoto bila ndoa!!
Hivi kwa yale aliyoyasema, itatokea nini endapo toddler wake atavunja chupa ya perfume yake (a very expensive frangrance kama Channel 5)??
Nadhani hii ni case ngumu sana,
Babu DC!!
Kuna watu kweli ni bora wasingezaa tu. Manake, kwa nini uzae halafu usiwajibike na matokeo yake mwanao apate mateso yasiyo na kujitakia? Kuna watoto wana shida hapa duniani hadi mtu unajisemea ni bora tu wasingezaliwa.
Jaribu kutembelea orphanage siku moja halafu uulizie backgrounds za watoto walio hapo. Unaweza kulia aisee.
hofu yangu ni pale utakapotafuta mwanaume tu wa kuzaa nae. Na ukipata mtoy ukataka kugeuka 180 degrees na kuwa mama na pengine kutamani familia mathubuti. Na mzazi mwenzio yeye akashindwa kugeuka. Ningekuwa wewe ningejishughulikia attitude yangu kwanza kuhusu stable relationship. Halafu nikiiweza hiyo ndipo niwaze mtoto.
The Boss
That's what everybody says. A kid will do a 180 on me , and totaly change me!
when i visit an orphanage, i cry na kuishia kuumwa kichwa na kula kwa stress (bila a big ice cream ama big milkshake i wont be able to think straight!). Huwezi kuamini mtu anaweza kureject kiumbe mwenye a bright smile and big bright eyes! Dah!
I respect ur life style!! so nashindwa kutoa advice! coz umesha conclude kwamba hutaki kuolewa so nikushauri nini then?!