Family Pressures.. Ushauri Pls!!

Family Pressures.. Ushauri Pls!!

..but angali, ujana maji ya moto little while yanapoa! kwa nini usiolewe? wanayosema ndugu zako ni sahihi baada ya muda utapoteza uwezo wa kuzaa! ukifikia hapo ndo utatafuta mtoto wa ku-adopt au ni aje? au una tatizo linalokusonga? liseme...

HAhaha Kamanda Kazi, inabidi ni cheke. Tatizo linalonisonga ni hizo negatives zangu. It been challenging for me to find
a man who can handle that...................so tatizo si kuwa sitaki niolewa za majority seem to interpret. Pia bear in mind kuwa at this date and age its hard for me to change into someone else
 
Bossman, that's not a guarantee, my friend.

Kuna wazazi wako hivyo hadi unashangaa kwa nini walizaa. They just don't give a damn. Wao ni kujirusha tu. Mtoto hajaliwi hata kidogo.
Nyani Ngabu
God forbid. Not to toot my own horn but, it has been said that of all the stars "cancerians" are the best mothers.......................so if not through my own persona at least from my star, lol
 
Last edited by a moderator:

I just hope that if and when you decide to have a child you will do your very best to be the best mommy ever. But to be able to do that ni lazima hizo character flaws uzitupe huko.
 
Sasa huyo mtoto atamtoa kwa mtu gani kama hayuko tayari kugawa hata share yake moja ili awe na mtu wa kumsaidia kupata mtoto....

I think being selfish and uncompromising...if she really means it, are the highest levels when it comes to sharing your life with others!!

Babu DC!!
Dark City
Ahh babu sasa mbona unanichana?Kwa kujitetea I think nyie hamjanielewa. I have nothing against marriage au mume. However what majority of the men expect from a wife and what I am willing to put out dont quite jive! Kwa sababu hiyo instead of wasting mylife hoping for a miracle, nimeamua kukubali matokeo. THat said...............just b'coz marriage maynot be in my books doesnt mean na mtoto pia. Babu just because I can't compromise on male/female ralationshs doesnt mean the same applies to mother/daughter or mother/son relation, au what am I missing jamani? Pls educate me
 
Nemo, kuna faida nyingi za kuto-kuolewa. Kuna faida nyingi za kuolewa. Kuna faida nyingi za kuzaa na kuna faida nyingi za kuto-kuzaa.

1.Every decision you make in your life has (a) Cost you must Pay (b) Sacrifice you must make. And this involves whether you decide to get married or not, bear a child or not. I think you sound like you have issues with change and fear. Learn how to pay a total price in everything you do. Maana kama unaamua kuzaa/kuolewa sio vyako - pia amua kuwa you will pay the total price.

2.Suala la ndugu kutaka wewe uwe kama wanawake wengine (ie uolewe au uzae watoto) sio lazima sana kama wewe una mtizamo tofauti na wao. Suala ni je: Unaona maisha wanavyoona wao? uko tayari kulipa gharama (total price)?.Wao wamelipa tayari - wewe uko tayari?

SWALI LANGU: Una mwanaume/wanaume wanaodhani wewe ungefaa kuwa mama/mke???
Ulishawahi kuwa na Uhusiano wa muda mrefu na mwanaume - how did you find it??
*Was it a good experience you would have wanted to repeat??
* Have you ever think of yourself as a lesbian or think that you are sexually challenged person??
* Do you believe in sexual sanctity? And that kama hutazaa au kuolewa - you will forever keep it sacrilege?

WATOTO: Nemo, there are reasons kwa nini watu wanaolewa na wanazaa. I believe ni kwa sababu there is a MEANING AND PURPOSE for our lives! Jiulize sana, juu ya meaning and purpose for our lives, then you will have the answers you need kwenye suala lako la msingi!
 
Dark City
Ahh babu sasa mbona unanichana?Kwa kujitetea I think nyie hamjanielewa. I have nothing against marriage au mume. However what majority of the men expect from a wife and what I am willing to put out dont quite jive! Kwa sababu hiyo instead of wasting mylife hoping for a miracle, nimeamua kukubali matokeo. THat said...............just b'coz marriage maynot be in my books doesnt mean na mtoto pia. Babu just because I can't compromise on male/female ralationshs doesnt mean the same applies to mother/daughter or mother/son relation, au what am I missing jamani? Pls educate me

Pole sana Nemo kama nimeonekana kuwa harsh kidogo....Haikuwa nia yangu!!

Nilijaribu kutoa maelzo kutoka na weakness zako ambazo umezieleza na kwa nia ya kukuchana bali kujaribu kuonesha ugumu katika kuwa na lifemate na mtoto pia...

Kama kweli hizo weakness unajijua unazo, mie nadhani hata kwa mtoto wako mwenyewe zitakuandama.

Halafu, mtoto sasa utampataje kama hutaki kuwa na mume?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Most people wanao ji 'brand kuwa wako wabaya namna fulani'
wengi wao deep down hawako hivyo...
ni 'defensive mechanism' tu....
The Boss
Sio Kuji brand, its just self actualization. Sasa if I am not in tune with my weakness au kuzikubali, itanisaidia nini? I dont understand why many people, are of the idea that I dont want to be married or share mylife and so on. Contrary to that, just like any other female I wouldv'e loved to get the whole shebang. HOwever even you will agree chances of finding somone who can overlook those negatives are slim to none,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,So why should my inability to get shackled, automatically imply that that hata mtoto si deserve?
 
First karibu Nemo..
we missed u big time..

Pili hizo familly pressure zipo sana na zinaweza zikaku ingia na wewe ukaanza kujiona not normal..
so kuwa careful sana...

mwisho simamia maamuzi yako...
i wish ungeandika kiswahili kitupu upate michango mingi

Nakubaliana na wewe hapo kwenye kusimamia maamuzi yake,akitaka familia awe ameamua mwenyewe and not otherwise! Welcome back kaka
 
Swali kwako Nemo,

Do you want to have a baby? (Be it now or sometime in the future.)
Nyani Ngabu

Yes I do. I just dont know when, which is what is causing all this fracas as time is not on my side............tick, tock, tick it goes
 
Last edited by a moderator:
inawezekana unatamani uzae sababu ya mamayo ila je utaweza kumtunza angali ushajikataa huwezi lakini sio kesi sana zaa halafu mpe mamayo myoto wako akulelee kama utaona kazi nawao wanataka uzae swali jengine Nemo kama unataka kuzaa je unae mwanaume au utaenda kununua sperm hospitali..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Nemo kama nimeonekana kuwa harsh kidogo....Haikuwa nia yangu!!

Nilijaribu kutoa maelzo kutoka na weakness zako ambazo umezieleza na kwa nia ya kukuchana bali kujaribu kuonesha ugumu katika kuwa na lifemate na mtoto pia...

Kama kweli hizo weakness unajijua unazo, mie nadhani hata kwa mtoto wako mwenyewe zitakuandama.

Halafu, mtoto sasa utampataje kama hutaki kuwa na mume?

Babu DC!!
Dark City
Well ......................when time is right, the plan is to victimize some poor guy by poking a hole on the rubber . Disapper then possibly show up nine months later, at his door with my bundle of joy, and yell............"Suprise you are dad!"

PS: Im joking. I dont have anyone in mind yet. Ila I do have a good friend that we discussed and agreed if by certain age we are both unattached. We will have a kid.
 
Last edited by a moderator:
Nemo, jibu maswali ya tetere hata kimoyomoyo, yatakusaidia sana.
Halafu mimi siamini kwamba you are that selfish, uncompromising n whatever. Wengi wenye character hizo hawajitambui; the fact kwamba unajitambua inaweza kukufanya hata ukaover act ktk ku-counteract hizo flaws.

Nafikiri wako ni uoga zaidi (the fear of failure), pls it is okay to fail. Mahusiano au ndoa yaweza fail na it might not necessariry be your fault.
 
Last edited by a moderator:
By the way- watoto sio mchango peke yake ambao mwanamke anaweza kuuleta duniani! It must be more than that!
 
Dark City
Well ......................when time is right, the plan is to victimize some poor guy by poking a hole on the rubber . Disapper then possibly show up nine months later, at his door with my bundle of joy, and yell............"Suprise you are dad!"

PS: Im joking. I dont have anyone in mind yet. Ila I do have a good friend that we discussed and agreed if by certain age we are both unattached. We will have a kid.

Usijali sana Nemo na pia tuelewe, .....wenzio bado tunaishi kwenye dunia ya 1947....

Kama mnafikiria kupata mtoto bila attachment, kwa nini msiongelee kujivua gamba au kujilipua kabisa ili mkabiriane na uncertainities pamoja?

Hata hivyo, wenzio tunazidi kujifunza jinsi dunia ilivyobadilika hadi ikawa kichwa chini miguu juu...!!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Gangamala kwa kutumia hizo ulizoziita negatives zako kueleza msimamo wako wazi.

Ila ujue biological clock ina tick.
 
??????!!!!

[TD="class: word"]No way,Jose!
[/TD]
[TD="class: tools"]
[/TD]

[TD="class: text, colspan: 2"] Old timer's vernacular, used to express disbelief or disagreement. You can also use it to say "no" to someone named Jose.

Nancy: Fred, I'm pregnant.
Fred: No way, Jose!

Jose: Dude, can I borrow ten bucks?
Mike: No way, Jose.

[/TD]

Source

NB: Hiyo Jose inatamkwa Hozee

Sasa Zayon Dota nakudai lunch - City Garden (Yummy Yummy?) au Southern Sun
 
Back
Top Bottom