Familia yangu imenitenga kisa ninataka kuoa single mom

Penguinelli Cactussini

Senior Member
Joined
May 23, 2022
Posts
104
Reaction score
382
Habari zenu wakuu!
Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani.

Nimesikitika familia yangu haiafiki jambo hilo wakati mimi naona yule single mom ananipenda sana na hata watoto wake washanizoea tayari. Wazazi wamenigomea wakati single mom mwenyewe ana watoto wawili tu.

Nifanyeje? Hivi naruhusiwa kufunga ndoa bila wao?
 
Familia nzima imemkataa huoni kuna shida pahala hapo?? Achana naye huyo mwanamke.
 
Habari zenu wakuu!
Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani.

Nimesikitika familia yangu haiafiki jambo hilo wakati mimi naona yule single mom ananipenda sana na hata watoto wake washanizoea tayari. Wazazi wamenigomea wakati single mom mwenyewe ana watoto wawili tu.

Nifanyeje? Hivi naruhusiwa kufunga ndoa bila wao?
Unajua mie ni mzazi,nina watoto wengi wa kike na kiume,wakati wowote watoto wangu wanaweza kuwa masingo maza hivyo siungi mkono vita dhidi ya masingo maza
 
Unajua mie ni mzazi,nina watoto wengi wa kike na kiume,wakati wowote watoto wangu wanaweza kuwa masingo maza hivyo soungi mkono vita dhidi ya masingo maza
Hatukatai ni kweli lakini matukio yanatofautiana tunaenda kulingana na mifano tunayoiona ata darasani mwalimu kabla ya kukupa swali anakupa mfano wake

Unajitahidi kama kijana unahustle unampat huyo single mama sio kwamba utakua na mapenzi nae ila utakua na hisia zinazotokana na huruma tu unamstili hapa na pale mnanyanyuana ikifika mahala yule mwenye mtoto akiona ananawili kidogo akigusia imo inaitikia tu mkeo ni vyepesi sana kukusahau

Mpende mjali ila hakikisha unauwezo wa kumuacha pindi akizingua tu kila la kheri mkuu
 
Hii JF nayo ina maajabu, this topic can either be true au aliyeanzisha ameanzisha tu kwa lengo la kutaka kudhalilisha Women...so weird

Well, kama umeshamchunguza vizuri na kujiridhisha kwa mambo muhimu, Muoe.

Anayeoa ni wewe si Mzazi, unaweza kumuoa asiye na Mtoto still mkashindwana.
Good luck
 
pira limeanza na mbili bila, marefa wanata kurekebisha lakini mwenye sufuri anasema amependa hayo matokeo.. hii tunaita imejilamba..😜
 
Hatukatai ni kweli lakini matukio yanatofautiana tunaenda kulingana na mifano tunayoiona ata darasani mwalimu kabla ya kukupa swali anakupa mfano wake

Unajitahidi kama kijana unahustle unampat huyo single mama sio kwamba utakua na mapenzi nae ila utakua na hisia zinazotokana na huruma tu unamstili hapa na pale mnanyanyuana ikifika mahala yule mwenye mtoto akiona ananawili kidogo akigusia imo inaitikia tu mkeo ni vyepesi sana kukusahau

Mpende mjali ila hakikisha unauwezo wa kumuacha pindi akizingua tu kila la kheri mkuu
Umempa muongozo wenye mwanga.

Lakini ungechimba zaidi kuhusiana na huyo single mom wake na madhara yatokanayo na wanawake wa kundi hilo.

Pia kumpa mwanga namna inavyokuwa watu mnapoishi pamoja kwa muda mrefu, mapenzi na mihemko huchuja na kubakia wa kawaida, hapo ndipo usaliti na divorse hutokea.

Je yeye amejiandaaje kisaikolojia na future yake kikamilifu?

Namaanisha kwamba kijana fresh kuanza kujenga maisha yake na mwanamke aliyekwisha kuzaa na mwanaume mwingine ni kosa kubwa sana la kiufundi, kazima ukweli tuuweke wazi.
 
Habari zenu wakuu!
Mimi nina miaka 27 na baada ya kelele nyingi za wazazi na ndugu kutaka kuoa ikabidi niweke wazi mapenzi yangu na single mom flani hivi hapa mtaani.

Nimesikitika familia yangu haiafiki jambo hilo wakati mimi naona yule single mom ananipenda sana na hata watoto wake washanizoea tayari. Wazazi wamenigomea wakati single mom mwenyewe ana watoto wawili tu.

Nifanyeje? Hivi naruhusiwa kufunga ndoa bila wao?
Ukioa single Mother umeoa mwizi
 
Mechi kabla haijaanza jamaa kapigwa 2-0

Anyway kama hilo limama linatako halafu litamu na wakat wa kumwaga had ubongo unataka kutoka LIOE TU MKUU
 
Back
Top Bottom