Familia ya Ruge Mutahaba imeanza kuomba misaada kwaajili ya matibabu yake

Aman iwe juu yenu wakuu

Tamadun ya mtanzania ni ukarimu, upole na kujitoa kwa moyo mmoja

Watanzania wengi huugua na kupitisha bakuli watu huchanga kadri ya uwezo wao mfukoni mwao, hata wale wasio na pesa huguswa sana hata kufikia hatua ya kutoa pole na maombezi na kusikitika sana juu ya mgonjwa husika

Mfano sajuki, wastara na wengine wengi kama mzee majuto walale mahali pema

Hata vifo pia watu huchanga sana mfano kifo cha kanumba na kingzila na wengine wengi

Cha ajabu sasa huyu ndugu yetu ruge watu hawataki kabisa kumchangia tena siyo kwamba hawataki kumchangia kimiya kimiya no hawataki live na wanatamka live bila kificho kuwa hawataki kumchangia mtu huyu

Nacho jiuliza huyu jamaa siyo mwanasiasa sasa hii chuki inatoka wapi juu ya ndugu yetu huyu. Aliwakosea nini watu

Je zambi gan inamwandama ambayo hajaitubu hati watu kumchukia kias hiki? Shida nini kwani watu wanamchukia ruge wazi wazi? Kwanini watu hawataki kumchangia boos huyu wa radio? Je watu wanaona kuwa ni tajiri sana au shida nini

NAWASILISHA

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka ruge aliwai anzisha kampeno ya kuchangisha fedha kwa ajili yanoperation za watt tafadhali tunaomba jinsi ya kuchangia iwe ni siku maalumu clouds kama mlovuofanya henzi hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu ruge ni kijana wa professor mutahaba aliyekua anafundisha administration pale udsm?
 
Back
Top Bottom