Familia ya Ruge Mutahaba imeanza kuomba misaada kwaajili ya matibabu yake

Mbona nasikia baadae alikuja kuwa mmoja wa wamiliki (kuna uzi humu jf unaonyesha mpaka % ya share zake)...kampuni kubwa kama CMG sio njema kumilikiwa na mtu mmoja au familia peke yake..
Mleta uzi amepotoka kusema Ruge ni mmoja wa wamiliki wa Clouda Media Group. Ruge ni mtumishi, ile kampuni ipo chini ya familia ya Kusaga. Aliwahi kuomba awe part ya umiliki kwa kununua hisa kwa kuzingatia uswahiba wake na Kusaga mkubwa. Ila board members wa familia wakakataa hilo. Hivyo hadi hivi leo Ruge ni mtumishi wa CMG na si mmiliki.

I wonder hata kwanini huyu baba huwa anatukanwa huku Kusaga family wao kutoguswa. Usilolijua ni usiku wa giza. Mwenyezi Mungu atamsaidia nafahamu mateso mazito anayopatam Tusikie hivyo ila yasikukute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Dhahiri approach ya ku - manage tatizo kwa gharama ya 5M kwa siku haitoweza kuwa na suluhu. Ningeshauri atibiwe hapa hapa Tanzania pale Muhibmili wana vitengo vya ku manage matatizo ya figo (kusafisha damu kila baada ya muda fulani na gharama zake ni kama laki 2 hadi 5 per run na hufanyika kwa wiki mara moja au tatu kutegemea na tatizo la mtu. sasa hizi gharama za 5M huko alikopelekwa kwa kweli ni kumuangamiza mgonjwa. Wakimrudisha Tanzania pia wakampeleka kwa Prohet Frank Kilawa naamini tatizo hilo litapona maana amewasaidia watu wengi wenye matatizo zaidi ya hayo bila kujali dini au kumwambia mtu abadili dini yake au kumtoza mtu hata shilingi moja.
Huyu jamaa (Ruge) ni mzalendo sana Mungu hawezi kumpita
 
Mwenyezi mungu amponye Boss huyu

Hivi ruge ni mmoja wa wamiliki wa clouds media group (CMG) au ni muajiriwa?? Me najua Mr. Kusaga anamiliki 100% ya clouds ila ruge kwa kuwa na mshikaji wake Wa damu na wa kipindi kirefu kampa nafasi kubwa
Source www.clouds media group.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ujumbe uwafikie wale wote walioota mapembe kwa pumzi kidogo waliopewa na kunyanyasa wanyonge.

Sana aisee!! Siku chache zilizopita nilikuwa sehemu naangalia TV, walikuwa wanamuonesha Daktari Bingwa wa mambo ya Moyo wa kijapan.
Kuna muda wali zoom Camera, wakauonesha Moyo ulivyokaa kifuani na unavyofanya kazi, aisee sisi Binaadam si kitu kabisa. Lakini tukiwa na mamlaka, pesa na ushawishi mwingine wowote tunakuwa viburi utadhani kifuani tumewekewa jiwe, kumbe nyama tu.
 
Back
Top Bottom