Familia ya Ruge Mutahaba imeanza kuomba misaada kwaajili ya matibabu yake

Mungu amjalie bwana Ruge apone haraka..lkn kitendo cha kuja kutuomba michango bila kutueleza mgonjwa anaumwa nn,hiki hakikubaliki kabisaa!

Halafu gharama zinazotajwa mbona gharama kubwa sana..!?? Kwa nn anatibiwa kwa gharama kubwa kiasi hicho. Maana tunaambiwa anatumiwa milioni 5 mpaka 6 kwa siku. Clouds waache utapeli,yaani hata kuumwa tu Ruge nayo wanaifanya fursa!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halo ndugu, pole kwa kuguswa kwanza, haya matibabu yanajumuisha matibabu ya kwanza yalioanzia India kabla ya kuugua tena na kupelekwa south Africa. Hivyo hizo hela zishatumika na bado nyingine zahitajika kwa sababu hali ya mgonjwa bado ni tete.
 
Apate nafuu binadamu mwenzetu. Ila kwanini wasimtibie hata tanzania. Juzi kuna mama mmoja alipata matibabu mazuri tu ya upasuaji figo zilikua zinajaa maji sana na sasa anaendelea vyema KCMC walifanyakazi nzuri tu. Get well soon
 
Upatikanaji wa organ muhimu kwa binadamu kama figo,moyo, mapafu n.k huku kwetu haikubaliki zichukuliwe kwa waanga wa ajali wale ambao wanaonekana hawawezi kupona lakini bado organ zipo salama??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kujua tatizo la mgonjwa kunahamasisha watu kujitolea tuambieni anaumwa nini.
 
Mungu amjalie bwana Ruge apone haraka..lkn kitendo cha kuja kutuomba michango bila kutueleza mgonjwa anaumwa nn,hiki hakikubaliki kabisaa!

Halafu gharama zinazotajwa mbona gharama kubwa sana..!?? Kwa nn anatibiwa kwa gharama kubwa kiasi hicho. Maana tunaambiwa anatumiwa milioni 5 mpaka 6 kwa siku. Clouds waache utapeli,yaani hata kuumwa tu Ruge nayo wanaifanya fursa!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu muogope Mungu kwanza..kumbuka clouds walikuwa kimya siku zote za ugonjwa means walifanya siri wakiamini watamudu gharama na atapona. Mpaka wameamua kusema inamaana hali imekuwa mbaya na peke yao hawawez kuaford ndio maana wameamua kuliweka hadharani ili wananchi wachangie, sasa hyo fursa inatoka wapi

Be Humble is free of charge
 
Mwenyezi Mungu akurehemu ruge, ugua pole

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Ndugu yangu alibadilishwa figo haraka India sasa ana dunda mzima wa afya hii case ya Ruge ni zaidi ya Figo
Hivi kama tatizo ni kufail kwa figo ufumbuzi wake ilikuwa siyo kutumia sehemu ya hizo fedha zilizokwisha tumika na kununua figo zingine used? Nauliza kama layman kwenye mambo hayo ya kitabibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom