Le mutuz atajipendekeza kwa mkulu mpaka avune cheo kuwapoza machungu familiaUtamaduni huo kwa ngozi nyeusi hakuna.
Sikuipenda hii. Huu naona ni kama aina fulani ya uchochezi.Kutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?
ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.
je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?
Huyu mtu amejaribu to think widely, hilo hamtaki. Ni sawa nawewe ukifiwa na watoto, mke, baba, mama, et c mfululizo, the following might come across your head:Sikuipenda hii. Huu naona ni kama aina fulani ya uchochezi.
Hasipo kuja hutaenda kumuhita?le mutuz haje kukujibu swali lako.
swissme
Hasipo kuja hutaenda kumuhita?
Njia za Mungu hazichunguziki. Pia kwa wanaomwamini Mungu kila jambo linalotokea ni Mapenzi ya Mungu.Huyu mtu amejaribu to think widely, hilo hamtaki. Ni sawa nawewe ukifiwa na watoto, mke, baba, mama, et c mfululizo, the following might come across your head:
1. Nimemfanyia nini Mungu
2. Nimelogwa
3. Kujiua-kufikiria hivyo
Unafikiri zaidi na zaidi
Le mutuz atajipendekeza kwa mkulu mpaka avune cheo kuwapoza machungu familia
Ulipaswa kwenda pale kilimani uwaulize kisha uingie JF na majibu toka kwao. Mliozoea kucapitalize ktk migogoro ya CCM ili kupoka wanachama mmeisha awamu hii
Kachukuweni wale waliomeguka kwa mwenyekiti wa CUF Mhe. Prof Haruna Ibrahim Lipumba, wasipotosha chukuweni wa NCCR
Kutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?
ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.
je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?
Shule hamna muleLe mutuz atajipendekeza kwa mkulu mpaka avune cheo kuwapoza machungu familia
Ni mzambiaLabda asingekuwa mgogo