Familia ya Malecela kuitosa CCM?

Familia ya Malecela kuitosa CCM?

Kutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?

ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.

je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?

Amwombe Lowassa radhi, alishiriki sana kumdhalilisha alongside na wengine!
 
Kutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?

ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.

je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?

Probability ni 97.567% wait and See
 
Le mutuz maisha yake yote anaishi kwa kuitegemea CCM na Devis mosha wa CCM endapo watahamia upinzani lazima njaa iwapige zaidi ya sasa hivyo sio rahisi wahame watabakia humo humo wakitegemea mkulu kuwaonea huruma na kumpa Le mutuz hata katibu Tawala wilaya ya Newala.
Umeua, umefanya msiba na kuzika mkuu.
 
Kutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?

ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.

je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?
Haibebwi na familia,inabebwa na wanachama.
 
Bado Baba/Babu yao Malecela analindwa na anakula posho za PM na Makamu wa 1 Rais
 
kumbe ujinga wako.
tutolee hapa uchochezi.

[HASHTAG]#FreeMaxcencemelo[/HASHTAG]
 
Kutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?

ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.

je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?
MAGU sio mjinga. Wote hao yaani mama malecela na dr mwele watapewa nafasi kubwa kubwa tu muda si mrefu. Subiri utaona.
 
lemutuz kila kukicha anamsifia makondakta na rizmoko sasa sijui kama anaweza kujitenga nao.
 
kumbe ujinga wako.
tutolee hapa uchochezi.

[HASHTAG]#FreeMaxcencemelo[/HASHTAG]

nyie wapu.mbavu kila kitu kwenu ni uchochezi. kama unaona huu ni uchochezi basi ndugu zako wakupeleke ukapimwe akili
 
William Malecela ana roho nzuri kwa kweli kabisa. ...MAULANA amtangulie. ...
 
Back
Top Bottom