Familia ya Malecela kuitosa CCM?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,619
2,000
Kutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?

ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.

je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,637

Ni vigumu kujitoa CCM kwa sababu bado mzee malecela anabembelezea serikali ihamie Dodoma
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,959
2,000
Kutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?

ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.

je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?
Uchochezi
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,637
2,000
Le mutuz maisha yake yote anaishi kwa kuitegemea CCM na Devis mosha wa CCM endapo watahamia upinzani lazima njaa iwapige zaidi ya sasa hivyo sio rahisi wahame watabakia humo humo wakitegemea mkulu kuwaonea huruma na kumpa Le mutuz hata katibu Tawala wilaya ya Newala.
 
JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,876
2,000
Malecela hawezi kuhama ccm, kwa hali iliyopo aendelee tu kuvumilia maana bado familia yake itaendelea kuonja maumivu, le mutuz nae soon atapanda koltini kwa kumiliki .com domain name
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,637
2,000
Jaribu Kukumbuka Suala La Lukuvi Mkewe Alipoanikwa Hadharani Kufanya Kazi ATCL Huku Shirika Likidorora
Mh Lukuvi Alimtosa Mkewe Akasema Kila Mtu Na Kazi Yake

Malecela Naye Hawezi Kuitosa Ccm Hata Iweye
Kwenye pesa CCM huwa wanatosana sana hata yule mkuu wa Fitna na Majungu wa CCM kwenye mitandao yaani Mr Lizaboni kuna kipindi Rajab Luhavi na Lukuvi walimnyima Pesa akawaandama sana kwenye mitandao kwa matusi na fitna za kila Aina.
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,637
2,000
Malecela hawezi kuhama ccm, kwa hali iliyopo aendelee tu kuvumilia maana bado familia yake itaendelea kuonja maumivu, le mutuz nae soon atapanda koltini kwa kumiliki .com domain name
Le mutuz yeye hajasajili hata mtandao mmoja yote anaifanyia biashara pasipo kulipa kodi hata JF Le mutuz kaitumia sana kuwasaidia kuwatetea CCM kwa kila aina ya utetezi lakini cha ajabu boss wa JF yupo jela Le mutuz hajaenda kumjulia hali kisa anaogopa na yy mtandao wake utafungiwa na kupelekwa jela.
 
Ngonidema

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
2,651
2,000
[HASHTAG]#Freemaxcencemelo[/HASHTAG] [HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG] [HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG] #UsirudieKosa#Freemaxcencemelo [HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG] [HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG] #UsirudieKosa#Freemaxcencemelo [HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG] [HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG] #UsirudieKosa#Freemaxcencemelo [HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG] [HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG] #UsirudieKosa#Freemaxcencemelo [HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG] [HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG] #UsirudieKosa#Freemaxcencemelo [HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG] [HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG] #UsirudieKosa#Freemaxcencemelo [HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG] [HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG] #UsirudieKosa#Freemaxcencemelo [HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG] [HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG] [HASHTAG]#UsirudieKosa2020[/HASHTAG]
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,959
2,000
Jaribu Kukumbuka Suala La Lukuvi Mkewe Alipoanikwa Hadharani Kufanya Kazi ATCL Huku Shirika Likidorora
Mh Lukuvi Alimtosa Mkewe Akasema Kila Mtu Na Kazi Yake

Malecela Naye Hawezi Kuitosa Ccm Hata Iweye
Utamaduni huo kwa ngozi nyeusi hakuna.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom