Familia ya Malecela kuitosa CCM?

Familia ya Malecela kuitosa CCM?

Lakini Malecela si anakula ndefu ya PM mstaafu? Ana njaa kweli huyu? au tunaleta majungu yasiyokuwa na msingi?
 
Wana kurukupa hovyo na kuzungumza kabla kujua athari zake humuoni william j malecela na porojo zake
 
Le mutuz maisha yake yote anaishi kwa kuitegemea CCM na Devis mosha wa CCM endapo watahamia upinzani lazima njaa iwapige zaidi ya sasa hivyo sio rahisi wahame watabakia humo humo wakitegemea mkulu kuwaonea huruma na kumpa Le mutuz hata katibu Tawala wilaya ya Newala.
Hivi le mutuz si tulionaga tv akidai ana hisa jf. sijamuona akitoa neno kuhusu maxence
 
Le mutuz maisha yake yote anaishi kwa kuitegemea CCM na Devis mosha wa CCM endapo watahamia upinzani lazima njaa iwapige zaidi ya sasa hivyo sio rahisi wahame watabakia humo humo wakitegemea mkulu kuwaonea huruma na kumpa Le mutuz hata katibu Tawala wilaya ya Newala.
Huyo Lemutuz jitu la hovyo kabisa hana sifa hata yakua mtendaji wa kijiji mkuu,yey na wanawake tu atauza ofisi ya umma
 
Familia ya Malecela hawaweezi kuikacha CCM. CCM ndiyo tawi la mwisho waliloshikilia familia ya Malecela. Angalau hadhi yao kiasi fulani inaendelea kuwepo wakiwa ndani ya CCM, pamoja na udhalilishaji wanaofanyiwa.
 
Kuna watu nchi hii mawazo yao sijui tufananishe na nini, Kuna baadhi ya majina yakiteuliwa katika baadhi ya post, watu wanaanzisha uzi kua familia zile zile ndio zinajirudia katika serikali, na ikitokea familia hizo hizo wanawajibishwa, basi watanzania hao hao wanaanzisha uzi kua familia hiyo haithaminiki #Unafiki_mbaya_katika_kukosa_hoja

Wakiachwa CCM ni Ile ile, wakiondolewa oooh hawathaminiwi
 
Kutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?

ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.

je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?
Hawawezi, niwalafi. Yataka moyo na ujasili kukaa nje ya hiki chama. Kwa wale wote waliozoea vyakunyonga, vyakuchinja nje ya ccm hawaviwezi.

Ni akina Lowassa na Sumaye tuu na wengine wachache waliojitoa muhanga mwaka jana.
Kwahio hii familia kuitosa ccm kwao ni ndoto. Kwahii familia, ccm ndo mama na baba yao. Njee ya ccm hii familia sio lolote na wala sio chochote.
 
Muwe mnawapima akili wagombea wote............!!!! Busara itumike!!!!
 
Le mutuz yeye hajasajili hata mtandao mmoja yote anaifanyia biashara pasipo kulipa kodi hata JF Le mutuz kaitumia sana kuwasaidia kuwatetea CCM kwa kila aina ya utetezi lakini cha ajabu boss wa JF yupo jela Le mutuz hajaenda kumjulia hali kisa anaogopa na yy mtandao wake utafungiwa na kupelekwa jela.
Hilo zee lina tumbo kubwa akili kisoda
 
Hilo zee lina tumbo kubwa akili kisoda
Tumbo tumbo Le mutuz siku hizi linajificha balaa linaogopa mitandao yake kutumbuliwa hata kwenye mahoteli usiku halionekani kabsa limejichimbia Gheto sevant cota kwa beki 3 wakilala wazazi linanyemelea kimya kimya,Mkulu analijua vyema hawezi kulipa cheo hata siku moja.
 
Huyo Lemutuz jitu la hovyo kabisa hana sifa hata yakua mtendaji wa kijiji mkuu,yey na wanawake tu atauza ofisi ya umma
Le mutuz ni bonge la kuadi akinasa namba ya Demu wako ujue kaisha lazima amuuze kwa wapenda uzinzi huku yy akijipendekeza kwa kila hali.
 
Kutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?

ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.

je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?
watabakia wana ccm jina tu huku moyoni wa kiwa na sumu kali na chama hicho!!

[HASHTAG]#JUSTICE[/HASHTAG] 4 LEMA
[HASHTAG]#BRING[/HASHTAG] BACK OUR BEN ALIVE
[HASHTAG]#FREE[/HASHTAG] MEXENCE MELO
 
Jaribu Kukumbuka Suala La Lukuvi Mkewe Alipoanikwa Hadharani Kufanya Kazi ATCL Huku Shirika Likidorora
Mh Lukuvi Alimtosa Mkewe Akasema Kila Mtu Na Kazi Yake


Malecela Naye Hawezi Kuitosa Ccm Hata Iweye
That was not fair. Mr wangu akinisemea hadharani sitamwelewa tukiwa bedroom..
 
Le mutuz maisha yake yote anaishi kwa kuitegemea CCM na Devis mosha wa CCM endapo watahamia upinzani lazima njaa iwapige zaidi ya sasa hivyo sio rahisi wahame watabakia humo humo wakitegemea mkulu kuwaonea huruma na kumpa Le mutuz hata katibu Tawala wilaya ya Newala.
Kwa nini Newala
 
Back
Top Bottom