Familia ya Malecela kuitosa CCM?

Ulipaswa kwenda pale kilimani uwaulize kisha uingie JF na majibu toka kwao. Mliozoea kucapitalize ktk migogoro ya CCM ili kupoka wanachama mmeisha awamu hii
Kachukuweni wale waliomeguka kwa mwenyekiti wa CUF Mhe. Prof Haruna Ibrahim Lipumba, wasipotosha chukuweni wa NCCR
Kachukueni makapi kama ....
 
Kutokana na mikasa inayoiandama familiya ya mwanachama Wa muda mrefu Wa chama cha mapinduzi ndugu Malicela, hasa kwa kipindi hiki cha awamu ya Tanzania, zinaweza kusababisha familiya hiyo kuitosa ccm?

ingawa familiya hii imekuwa ikijitoa kwa hali na Mali katika kukipigania chama kwa muda mrefu lakini katika awamu hii ni kama wana bahati mbaya, kwani wameishia kutumbuliwa tu.

je kuna uwezekano familiya hii kuitosa ccm?

le chizis likija hapa litaanza "you know am humbled hah hah hah hah"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom